Gazeti la Jamhuri linatumika kumchafua Dr. Mpoki

HAYA NI MAELEZO YANGU BINAFSI, NA SIJAWAHI WASILIANA NA DR. MPOKI TOKA AWE MKURUGENZI WA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA

Nimebahatika kumfahamu Dr. Mpoki tukiwa Muhimbili. Namfahamu ni kati ya watu honest sana. Nimehuzunika kuona gazeti la Jamhuri likitumika kuandika habari zake ambazo kwa nafasi yangu nimebahatika kuujua ukweli wake, huku likiacha big picture. Inawezekana Dr. Mpoki ni jipu, lakini sidhani kama waweza ukaona jipu dogo, kabla hujaona kubwa. Kama kweli hawa Jamhuri wameona ubadhirifu wa Dr. Mpoki bila shaka wliona ubadhirifu mkubwa zaidi Mbeya, lakini kwa kuwa wanajua malengo yao hawawezi wakasema chochote. Hivi hawashtuki mtu aliyekuwa naibu mkurugenzi kwa miaka zaidi ya kumi, akinunua CT scan baada ya hiyo nafasi kuisha; wakati huyohuyo mkurugenzi hakuiwezesha hospitali yake kuwa na CT Scan kwa miaka yote akiwa kiongozi?

Kama kweli gazeti la Jamhuri wana nia ya kuisaidia serikali, wangeanza na wizi wa mamilioni ya pesa za HIV pale Mbeya Referral Hospital kwa zaidi ya miaka kumi, ambayo ilikuwa ikipata kila mwaka zaidi ya 1.5 billion na nyingi zikawa zinaishia kwa wajanja kwa kudanganya uagizaji wa vifaa tiba, semina za uongo na kweli, supervision za uongo, n.k. Dr. Mpoki kafika Mbeya wakati Walter Reed wameshika control ya pesa, na kupunguza zaidi ya nusu ya budget ya kila mwaka.

Ninafahamu Dr. Mpoki ana mgogoro mkubwa sana na Dr. Mselle wa Muhimbili National Hospital, ambaye alikuwa mwajiriwa mwenzake na kila mmoja aliwahi kuwa mkuu wa Idara wa mwenzake. Magomvi yote yalitokana na kugombea ukuu wa idara. Ombeni Sefue aliposimamishwa u KMK Dr. Mselle alifanya sherehe, akidhani Sefue ndiye anayembeba Dr. Mpoki. Inajulikana Mselle amekuwa akifanya figisufigisu za chini kwa chini ili Mpoki aonekane ni mbadhirifu, lakini hushindwa.

Dr. Mpoki alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Hospitali ya Rufaa Mbeya alikuta kuna wizi mkubwa umefanyika wa pesa za HIV toka Walter Reed, (hadi budget yao kwa hospitali ikapunguzwa, na baadhi ya vitu kama kununua dawa wakaanza kuvifanya wao) na kwa bahati mbaya akakutana na team ya former administrators ambao walikuwa wakigombea kwa udi na uvumba mmoja wao kuwa mkurugenzi wa hospitali ya rufaa Mbeya.

Kuna team ya mapambano dhidi ya Dr. Mpoki iliundwa na viongozi walionufaika na miradi ya HIV, timu hii ilikuwa ikifanya kila namna kumtengenezea mabomu Dr. Mpoki hasahasa katika kupitisha malipo ya vifaa tiba, hasa wakitaka kutumia ugeni wake. Hawa walikuwa wanafanya kila jitihada ya kumharibia Dr. Mpoki, ili aondoke hospitali ya rufaa kwa sababu aliwabana sana. Hawa walikuwa baadhi ya wana timu:

1. Humphrey Kiwelu ambaye kwa kipindi kirefu alikuwa naibu Mkurugenzi, na baada ya kuacha hiyo nafasi akanunua mashine binafsi ya CT scan, wakati hospitali ya rufaa Mbeya aliyokuwa akiiongoza haijawahi kuwa na CT Scan toka ianzishwe. Dr. Kiwelu amekula pesa nyingi za HIV toka Walter Reed, kutoa invoice fake na kulipwa pesa kwa vifaa vya radiology vilivyotolewa kwa msaada, n.k.

2. Dr. Msafiri Birigi, huyu pia alihusika katika ulaji wa pesa za HIV na kuna kipindi alikuwa msimamizi wa kutoa magovi mkoa.

3. Nsekela. Huyu ni accountant ambaye nasikia sasa kahamia Dar es Salaam. Anahusika katika wizi wa pesa mbalimbali za hospitali na mara nyingi amekuwa akijifanya ni usalama wa taifa. Yeye ni Dr. Mpoki ni kama paka na panya.

4. Aisha Mtanda, huyu alikuwa katibu wa hospitali, ambaye alishawahi kumfokea Dr. Mpoki. Anahusika kutumia pesa za HIV kwa matumizi mbalimbali. Alitajwa kuwa na mahusiano ya kimapenzi na mmoja wa Wakuu wa wilaya wa Mbeya (sasa ni mbunge) na pia Jina la mbunge lilitumika kulipwa pesa kwa ajili ya kitu kisichohusiana na hospitali kwa safari ya kwenda Canada, kwa masuala ya kilimo. Aisha pia alikuwa akichukua pesa za hospitali, akidai ni ada za vyuo anavyosoma full time nje jambo ambalo si kweli.

5. Mama Wanguvu. Huyu ni mmoja ya accountant anayehusika na yote hayo hapo juu.

6. Sadick wa engineering.

7. Patron Isdory ambaye alihusika sana kutengeneza budget za pesa toka Walter Reed na pamoja na kuzipiga zikifika.

8. Dr. Mabula, ambaye walikuwa wakikosana na Dr. Mpoki hasa kutokana na kutotumia muda wake mwingi kuwa kazini, badala yake akishinda kwenye kliniki yake. Pia Dr. Mpoki alikuwa akizikataa qualifications za Dr. Mabula kwamba yeye ni daktari bingwa kwa sababu anadai alisoma China na kwa kipindi kisichofika miaka miwili. Dr. Mabula alihamishwa na wizara kwenda hospitali ya Dodoma lakini ndani ya mwezi mmoja barua iliyosainiwa na Dr. Mbando ikambakisha kwenye kituo chake cha Mbeya.

Dr. Mpoki anatajwa na gazeti la Jamhuri kujiuzia gari, kitu kisichokuwa kweli, kwanza Dr. Mpoki alikuwa ni kati ya watu wengi wakihusisha madaktari walioomba kuuziwa gari hilo na mpaka sasa hawajajibiwa maombi yao na Transport Officer wa MoH. Gari hii ilitolewa na Walter Reed na ina zaidi ya miaka mitano sasa na haina gharama hizo zinazotajwa.

Usalama wa taifa, PCCB na vyombo vya ulinzi vinafahamu haya, ajabu hayashughulikiwi. Tunajua watu wa PCCB Mbeya wamekuwa kwa kipindi kirefu wamekuwa wakihongwa vipesa vidogovidogo na kusumbua watu wasiokuwa na matatizo ambao hawako radhi kuwapoza kwa allegations wasizohusika nazo.

MAONI

Serikali, ikague matumizi ya pesa za HIV toka Walter Reed katika hospitali ya Rufaa Mbeya, na pia nyanda za juu kusini kwa ujumla - Mbeya, Rukwa, Songea, Katavi ambao huu mradi wa Walter Reed unafanya kazi.

Serikali iwachunguze watajwa hapo juu, pamoja na Dr. Mpoki na Dr. Elietery Samky aliyekuwa Mkurugenzi Mstaafu Mbeya ili kujiridhisha. Ni ajabu kuona Dr. Humphrey Kiwelu kununua CT scan soon after kutoka kwenye nafasi yake ya Ukurugenzi na ukakaa kimya huku ukijua allegations nyingi na za muda mrefu juu yake, tena hizi allegations ndizo zilimnyima Ukurugenzi wa hospitali (huwa anajifanya ana ushirikiano wa kumiliki CT scan na mtu toka Australia).
Huo ndio ukweli mtupu
 
Mbeya ni mkoa wa ajabu sana hasa kwenye kupikiana majungu. Nilifanyakazi huko na niliipata fresh.
Madudu yote haya yanajulikana na tungojee muda.
 
Mmh, Kuna viukweli vingi sana katika hii habari, Mfano hii CT Scan si ndiyo ile iko pale bondeni nyuma ya TIB bank?, na si tunaambiwa hiki chombo ni kama shs Bil 1 kukinunua? Sasa huyu jamaa ana ukwasi kiasi hicho kweli?
 
hii hospitali watu wamepiga sana hela za wafanyakazi wa kawaida. ni kuanzia kwenye hela za safari, motisha kwa wafanyakazi, call allowances, hela za can, hela za kusoma na nyinginezo.
kuna watu kama birigi walikuwa wanaichukulia hiyo hospitali kama Mali yake. alikuwa anapenda sana kufrastrate wafanyakazi wenzie. huyu ameiba mpaka hela za circumcision mpaka wakamtoa.
waliunda teams za kula hela za hospitali hata alipofika mpoki akakuta wanagombania uongozi.
 
Mpoki alibadilisha baadhi ya mambo mpaka hawakuwa mini, wakaamua kushtaki pccb kumbe sheria inaruhusu.
 
Jacton manyerere ataacha ujinga wake pale magufuli atakapokuwa na mwandishi wake wa habari hizi figisufigusu zote anamawazo ya kuwa salva wa ikulu na magufuli alivyo na upendeleo wa kanda ya iwa anaweza kuwa
 
hapa inaoneka kuna vita kati ya makundi mawili yanayotafuna pesa kwa hiyo kila kundi linajitahidi kutoa siri za kundi jingine ila mpoki mpaka amekuwa Dr sidhani kama anashindwa kujitetea
 
Nilichosema mimi ni kuwa niliwahi kufanya kazi mbeya na niliipata fresh
Hiyo siyo motive yako,ulitaka kusema kwamba Mkoa wa Mbeya una watu wenye majungu,ndiyo maana nimekuuuliza ni wapi ambapo ni heri? ulipo sasa au ulikotoka kwenu tuangalie hapa kama ni kweli! maana huenda na wengine walifanya kazi huko na wakapata joto ya jiwe. Point yangu ni kwamba usi generalise mambo kwa kutoa conclusion mbaya na ya chuki kama hiyo,huo ni ubaguzi kuonesha kwamba utokako wewe ni watu wema sana ila Mbeya wanafitina sana.Wewe unajiona ni bora zaidi na unatoka sehemu bora zaidi, which is nonsense! Watanzania wote tuko sawa.
 
Hili gazeti la Jamhuri kumbe ni la hovyo hivi???
Linachafua watendaji wema , Kwa manufaa ya wachache.
Mbona lilikaa kimya kashfa ya Januari Makamba Na mzungu wa dadake????

NASHAURI SERIKALI IWE MAKINI NA WIZARA YA AFYA , INAWEZEKANA IKAWA NI WIZARA INAYOONGOZA KWA MAJUNGU AFRIKA MASHARIKI ,
HAIWEZEKANI KILA KATIBU MKUU, WAZIRI , AU NAIBU WAZIRI AWE NA KASHFA.... CHUNGUZA WALIOPITA KTK HIVYO VYEO WOTE WALIJERUHIWA NA KASHFA SABABU YA VYEO VYAO.
Mti wenye matunda matamu ndio hupigwa mawe .

Yaani wizara Ile KWA majungu inaongoza utadhani watu wana shahada ya uzamivu
 
Naweza kukubaliana na mtoa Mada, mjudge mtu na toa fact if unamfahanu vizuri. Dr mpoki ni mtu muadilifu Sana na mcha Mungu Sana. Hayo yanapikwa tu kumchafua. Ndio maana masoud kipanya anawachora waandishi wa Habari wanatumika kama toilet paper
 
huyo jamaa yuko humble sana. tena ishu aliyospecialize (anaethesiology) ndiyo madaktari wenye mishahara mkubwa duniani kote. ila moyo wa mtu ni kina kirefu sana
 
haha huyu njemba alipoingia rufaa tu meaal allowance sijui nini vyote vikapotea. I bet kwa mwaka mmoja aliokaa rufaaa kama kuna mwezi amekaa ofisi kwa mwez mmoja mfululizo namtumia mtu vocha. anyway hiv fenicha amerudisha kweli alipohamishiwa wizaran toka mbeya
 
NINA wasi wasi na mtoa mada, kwa ufupi GAZETI LA JAMHURI HALINA kosa, kwa mjibu wa balance and fear, liko sawa kabsa limepata tetesi nalo limezibitisha tetesi kwa kuwasiliana na Dr mpoki, kuna sehemu anaulizwa maswali kuhusu vocha za safair anajibu kuwa alindika mwenyewe na kumperekea mhasibu amlipe baada ya kupoata kibari cha kujiandikia kwa mkono wake, pili kuusu kujiuzi gari kaulizwa kajibu ndio kanunua, kuhusu kusfiri aliulizwa kasema ndio alisafiri, baada ya mpango owte kuwa umekamilika kabra mtumbua majipu kuingua ikulu,ILI gazeti lipo sawa bira kuyasema haya lilisosema wewe leo husngekuja na UFISADI WA PESA ZA UKIMWI, wewe ni mwizi na JIPU KAMA wengine kama umetumwa umsafishe jitokeze adharani utumbie uhusiano wenu, kama alikuwa anakuonga magari mekundu kama LIYUMBA sema. ondoa porojo kama ulijua ukweli wa wizi wa fedha za HIV UNGEKUJA MAPEMA NA KUSEMA SIO USUBIRI BWANA AKO ATUMBULIWE NDO USEME.
 
UNA LOLOTE wewe ni mtetezi wa wezi, mbona hukuwai kutia mada ya namn hii jamii forum? umeingia mwaka 2011, upo kimnya mpaka waguswe watu wako
 
siAsa siasani! kazi bila siasa haziendi. ni zaid ya kugombe ubunge jimboni. ukiona jinsi watu wanavyopigania vyeo, waone wenzao waharikiwe wenyewe wapete.
Miongoni mwa tuhuma niliona wakisema Dr. Mpoki alifoji risti za taxi. Hii nayo imekaaje manake mtu mkubwa kama huyo kufoji viristi vya taxi inasababisha integrity yake kuwa questionable. Niliona wamemnukuu akisema aliambiwa na mhasibu atafute risti na akatafuta na kujiandikia gharama za taxi. Kama ni kweli alifanya hivyo na hata ikiwa kweli alikuwa na madai basi integrity yake itakuwa imekwama topeni. Siamini kama anaweza fanya hivyo
 
Back
Top Bottom