GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,443
- 120,801
Nilitegemea ile coverage ya Kiupendeleo ambayo Gazeti la Jambo Leo walimpa Bosi wao Yusuph Mehboob Manji siku aliyotajwa katika line up ya Wauzaji na Watumiaji dawa za kulevya ingeendelea mpaka leo ila kwa masikitiko na mshangao mkubwa mbwembwe zote zile ziliishia tu katika toleo lile lile na sasa ' wameufyata ' huku sheria na taratibu zikichukuwa mkondo wake.
Enyi Jambo Leo mbona sasa mmekuwa kimya na hamumuandiki tena Bosi wenu Manji kwa ukubwa wake ule ule kama mlioufanya siku ya Alhamisi ya tarehe 9, February 2017?
Nisalimieni sana ' Kamarada ' Juma Pinto.