Gazeti la Jambo Leo linapatikana bure likiwa na headline "Huyu ni Manji mnayemzungumzia?"

kamati

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
240
109
Leo naenda zangu kazini asubuhi nakuta wauzaji wa magazeti wanagawa gazeti la jambo leo bure kweli BOSS MANJI kaamua kujisafisha msemo brand kuitafuta kazi ili kuichafua ni mda mfupi sana asanten nawasilisha.
FullSizeRender_16.jpg
 
Leta picha tuone hilo jarida na Manji kapose vipi kwenye Front page ili tujiridhishe.
 
Hizi mbwembwe tu ukichafuka umechafuka hadi uoge ndo unakuwa safi, kugawa gazeti bure si njia sahihi ya kujisafisha kutoka kwenye makosa
 
Back
Top Bottom