dunia inapoelekea ni pabaya sana.inafikia hatua hata mtu akiua wengine wanashabikia.israel,waarabu,ulaya,marekani wapo mbali sana nasi wametunyonya na wanendelea kutunyonya through wb,wto and imf na hawana msaada na sisi. Na ndio maana uliona mabomu yalipopigwa ubalozi wa marekani si marekani wala israel aliyeweza kuzuia na tulikufa watanzania. Kumbukeni tumeishi maisha ya amani na kutegemeana muda wote.sasa hawa watu wachache wanaochochea na kushabikia mauaji humu ndani hatuwaelewi labda ndio hawa mamluki waliojibandika uraia wakati si raia wetu.
Dini, kabila na vyama si tatizo kwetu tatizo ni umaskini na utajiri na ndio vita kuu dunia yote hata pale middle east si vita za dini. Hao ndio wanao tuleta products zao mbaya na kuuwa industry zetu.
Kuna siku itafika mtaamini target ya marekani,israel na ulaya si waislamu pekee bali hata ukiristo upo ktk target,kwani mayahudi ni wakiristo?