Hiyo kali sana. Imagine wanajeshi wanakuwa mashoga kwenye frontilne.
Ha ha ha, ha ha ha ha
Hata kabla sijasoma, imagine likaangushe Tarime? Au kwa Wamasai? Au Mbuga ya wanyama, simba wawe gay?
you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
you and your imaginations.......
mimi natamani iangushiwe bungeni, siku ambayo bibi kiro amewafukuza majembe wote wa CDM, nitafurahijeee!!!!!!!!!!!!!!!!!!11
Wasira na Komba......making out!!!Ha ha ha ha, sijui kwa nini imanijia sura wa Wasira(no offence intended)
Wasira na Komba......making out!!!
kudadadeki!!
The U.S. Air Force research laboratory
contemplated making a "Gay bomb," a
weapon that would induce homosexual
behavior when dropped in the battle field!
Source: Gay bomb - Wikipedia, the free encyclopedia
Hahahahahaaa!!!!:A S-fire1::smash::A S-fire1: Mmh, hapo itakuwa who is who-ing who?