simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,409
- 9,183
Naishi Kenya siku nyingi tu. Sijutii uamuzi wangu.Karibu uone ustaarabu wa Kenya. Naona propaganda za CCM zimekuvuruga.Nenda kaishi Kenya na hiyo Africa moja yako.
Naishi Kenya siku nyingi tu. Sijutii uamuzi wangu.Karibu uone ustaarabu wa Kenya. Naona propaganda za CCM zimekuvuruga.Nenda kaishi Kenya na hiyo Africa moja yako.
Kuna Mbunge aliwai sema, Baba Jesiikaa anaongea hovyo... Afungwe break! Aliona mbali.. Na kuna wengine walisema inchi inaendeshwa kama imekatika usukani!
Yani humu JF kuna majuha wanaounga mkono kwamba nchi jirani ziigeuze Tanzania shamba la kuchungia mifugo yao???
We jamaa na wasiwasi na uraia wko na elimu yko pia....bndera ya chama flan fata upepoAnachukiwa na Africa yote kwa vitendo vyake vya kinyama hadi kwenye mifugo.kataka kumuuwa lissu na sasa kaamia kwenye wanyama.mtu mbaya sana huyu.
Swissme
Nenda kaishi Kenya na hiyo Africa moja yako.
Naishi Kenya siku nyingi tu. Sijutii uamuzi wangu.Karibu uone ustaarabu wa Kenya. Naona propaganda za CCM zimekuvuruga.
Mkuu wala usijisumbue kuwapigia gita mbuzi. Kuna watu humu wana akili hata mbuzi ni afadhali. Watu wameng'ang'ana kusema oooh Wakenya wamezidi, ooh wasitulazimishe, ooh katiba yetu sijui, ooh wamezoea! Hawa wachangiaji mbumbumbu wa historia ya jamii ya Masai katika mpaka wetu na Kenya wanasahau kabisa kwamba Wamasai wa Tanzania wanapitisha ng'ombe wengi tu kwenda Kenya, na hata leo hii kuna ng'ombe kibao wa Wamasai wa Tanzania wako Kenya. Karibu kila comment nayoiona kuhusu kuunga mkono kupigwa manada hawa ng'ombe, ni rahisi sana kuona ukilaza wa mtu aliyei-post.
Ngoja siku wasikie Kenya wametaifisha na kupga mnada ng'ombe 5000 waliovuka toka Tanzania labda ndio wataelewa, na utasikia tena - Kenya wanatuchokoza etc etc.
Ni jambo zuri kwamba Gavana amesema hawatalipa kisasi, maana anajua wakiamua wanaweza kutuumiza kuliko tulivyowaumiza wao. Lakini uzuri ni kwamba, si viongozi wote wana akili na kufikiri kama Magufuli.
Magu anatuaribia uhusiano tuliokuwa nao mda mwingi kosa ampendi Uhuru
Swissme
Tatizo Watanzania wanawaogopa sana Wakenya kwa kiingereza chao kizuri zaidi, hivyo wana hasira nao sana. Kama mnabisha tuombe TBC wafanye mdahalo wa kiingereza, topic iwe Wachungaji wa Kimasai na suala la kuheshimu mipaka, na wageni rasmi wawe Raisi Magufuli na Uhuru, na watazamaji wa Kenya na Tanzania wachangie mada kwa kiingereza.
Jaribu uone kama hamjasikia I wish I kudu be a Masai cow not to use pasipoti to go to Nairobi
Ndugu yangu Synthesizer(I prefer to call you ndugu(brother) kama neno ambalo Baba wa Taifa alituachia kuonyesha udugu na mshikamano wa Watanzania ambao JPM kwa maksudi ameamua kuusambaratisha)tuko pamoja. Naungana na wewe kwa 100pC na ninachokiona hapa ni chuki za Magufuli kwa Waamasai kwa vile tu Edward Ngoyayi Lowassa ni Mmasaai ambaye ni tishio kwa utawala wa JPM...!!!
Sasa huyu JPM akiendelea na chuki zake hizi ajue kabisa anavunja udugu na mshikamano wa Watanzania lakini pia anavunja mshikamano na udugu wa Wana Afrika Mashariki. Katika Imani za Mwanachama wa CCM(TANU) moja inasema wazi kabisa kwamba,''WAAFRIKA WOTE NI NDUGU ZANGU NA AFRIKA NI MOJA''. Sina hakika kama JPM huwa anasoma Katiba ya Chama achilia mbali Katiba ya nchi ambayo kila kukicha tunashuhudia akiivunja kwa mikono yake miwili....!!
Ni hatari sana kuwa na Rais kabila hii tusipoangalia huko mbele huyu jamaa anaweza akachochea vita kama vya nduli Idd Amin Dada(rip). Tusubiri muda ni msema ukweli....!
Baba jesica anajidhalilisha mwenyewe!! Mshaurini awe anasoma hotuba zake!!Hamna cha aibu wala nini. Mmepata upenyo tu wa kumshambulia Mheshimiwa Magufuli. Hamkosi la kusema nyie...
And why miaka 10? Why not five? Ikibidi CCM iendeleee, basi hakuna kitu ninachotamani kama CCM angalau kuwa na akili ya kuona Kassim Majaliwa ni super capable and wise leader zaidi sana ya Magufuli na anapaswa awe ndio Raisi wa nchi hii baada ya miaka mitano ya Magufuli.yaani Magu hadi miaka 10 iishe tumejuta
And why miaka 10? Why not five? Ikibidi CCM iendeleee, basi hakuna kitu ninachotamani kama CCM angalau kuwa na akili ya kuona Kassim Majaliwa ni super capable and wise leader zaidi sana ya Magufuli na anapaswa awe ndio Raisi wa nchi hii baada ya miaka mitano ya Magufuli.