Gama
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 13,265
- 4,716
free riding haikubalikiUse your brain for your benefits only
free riding haikubalikiUse your brain for your benefits only
Unafikiri kwa kwa masikio mkuu. Mbona umehama mada!!Unavunjiwa nyumba yako kikatili kibaguzi alafu unambie uzalendo kwa wenye kitupiga risasi na kufurahia umasikini wetu.
Magu anatuaribia uhusiano tuliokuwa nao mda mwingi kosa ampendi Uhuru
Swissme
Gavana wa Kaunti ya Kajiado Joseph Ole Lenku amekosoa kauli ya Rais Magufuli kuwa Tanzania sio shamba la kufugia mifugo.
Ameelezea jamii ya Wamasai upande wa Kenya na Tanzania wamekuwa na uhusiano mwema na kuwa kama kaka na dada na wamekuwa wakisaidiana kwa miaka mingi
Amesema kuna ng'ombe wengi kutokaTanzania wapo Kenya na uongozi wake umekua aibu sana kwa Afrika Mashariki kwa sababu ushirikiano uliokuwepo umeleta manufaa kwa pande zote mbili na kutumia mabavu kukamata mifugo imewaumiza watanzania na ni vyema ajue hilo
Ameongeza kujifanya unakuja na kifua mbele hakuna mahali atapeleka kifua mbele na umasikini wake ila hawatalipiza kwa Wamasai wa Tanzania waliopo Kenya kwa kuwa sio kosa lao