Ni Mimi Hapa
Member
- Aug 22, 2025
- 14
- 25
Wakuu habari
Nimekuwa nikutumia hii program kwa muda kidogo baada ya kukutana na threads kadhaa humu JF nami nika-download na nikaanza kutumia kama kawaidia.
Nilikuja kushangaa kuona program inanipa ushauri kuhusu biashara yangu mfano leo inaniambia kuwa 'nipungunze kulipa madeni kutokana na hali ya biashara yangu sio nzuri kulingana na mzunguko wa biashara kupungua' Duh na hiki kisehemu kinacho onekana kama bar ya kuonesha charge ya simu jamaa mmoja kanisanua kuwa hiyo ni meter ya biashara inaitwa 'Business Health' kwamba ikiwa biashara inapumlia mashine unaona hapo na ikipanda pia unaona