Buku jeroHiyo pesa ni kama pesa ngapi kwa hizi zetu za madafu...??
Hapana ni buku jeroFanta milioni 14
Amevaa toyota moja safi ya kuendea ofisini 😎14,190,000
Sibishi Baba VickyBuku jero
Unabisha kwani
Ntakununulia kama hilo mamiiSibishi Baba Vicky
Cho lelo achinkanya....??Hili Gauni angevaa mmama au dada wa kimakua (anawakilisha wengi bongo)ndio ungejua thamani yake, hapo naona kama liki mlingotini tu, tena kiunoni sijui kuna gagulo au shanga kubwaaaa!
Hahaha namimi nataka la kushonwa na givenchy...Ntakununulia kama hilo mamii
Nliliona karume
Given wa kariakoo unamjuaHahaha namimi nataka la kushonwa na givenchy...
Au nyumba ya vyumba viwili vya kulala yenye choo bafu jiko na sebulehii gharama ni sawa na IST 1
View attachment 1121410