Gauni alilovaa Melania Trump limeshonwa na Givenchy gharama yake ni £5,000

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,587
215,182
1121401

Siku ya pili katika ziara yake Uingereza, Donald na Melania Trump walikaribisha wageni wao katika chakula cha jioni.

Gauni alilovaa Melania katika shughuli hiyo limebuniwa na kushonwa na Givenchy na gharama ya gauni na £5,000
 
Hili Gauni angevaa mmama au dada wa kimakua (anawakilisha wengi bongo)ndio ungejua thamani yake, hapo naona kama liki mlingotini tu, tena kiunoni sijui kuna gagulo au shanga kubwaaaa!
 
Hili Gauni angevaa mmama au dada wa kimakua (anawakilisha wengi bongo)ndio ungejua thamani yake, hapo naona kama liki mlingotini tu, tena kiunoni sijui kuna gagulo au shanga kubwaaaa!
Cho lelo achinkanya....??
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom