Mwenye kujua kilichotokea jana au juzi atujuze kwa undani-Nimekuta habari hii inamalizika Cloud TV sasa sijui details zake,nilichosikia ni kuwa Burundi imetangaza siku tatu za Maombolezo na miili ya marehemu 36 imezikwa harakaharaka.Mwenye details atujuze.