Nakubalina nawe ingawa hiyo miaka ya 90 unayosema ilitawaliwa na baadhi ya niliowataja kama Aurlus Mabele, Pepe Kalle, Nyboma na Papa Wemba Jules Wembadio Shungu le grand Contoumier du la Village Morokai.
Mkuu, huyu jamaa was a Michael Jackson fan and wanted to demonstrate that another type of Congolese music was possible. Kuna hata a lingala version of "Bad (who's bad) that he sang, mi sikuipenda coz it wasn't so original.
Mapema in the 90's ali-retire from music and the last time I heard of him he was doing his MA in business administration in the US where he lived with his family. Umenikumbusha, I'm still to share with you my Papa Wemba collection, ila tatizo you are nowhere to be seen, you are Invisible. Sijui itakuaje hapo. lol
mkuu safari,
nafikiri aliyekuwa akijifananisha zaidi na michael jackson na hata kuimba "who's bad whos bad" alikuwa stino wa viva la musica, band iliyoanzishwa na papa wemba na baadaye akamwachia reddy amisi na huyo stino.
Band hii ni kama zaiko langalanga b kwa sababu imezalisha pia wanamuziki wengi wazuri kama koffi olomide aliyepita hapo kwa muda mfupi.
koffi olomide akiwa yanki na papa wemba: koffi olomide & papa wemba synza / debaba celio declarant / djomegabp - youtube
ni stino kwenye wimbo wake wa mista
Hatari sana huyo jamaamangaribi ya leo, sisi sote tumo ndani.......
tunacheza kabila yote......
tunacheza leo mpaka kesho......
naimba tu ingawa sina uhakika kama nimepatia hayo maneno.
mara ya mwisho kumuona ilikuwa atlanta,georgiaHuyu kijana Congo alivuma mno ukanda huu wa dunia kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 1990 kabla ya kupotea ghafla katikati ya miaka ya 90. Hivi bado yupo hai, yupo wapi na anafanya nini?View attachment 371999
Vitu vngine havifai kukumbuka dah kipindi hicho tuko wadogo Hata shule hakijaanzaUmenifanya nikumbuke mbali sana