"Gas Station + Mosque/Church" is it advised? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

"Gas Station + Mosque/Church" is it advised?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mkaa Mweupe, Jun 17, 2010.

 1. Mkaa Mweupe

  Mkaa Mweupe JF-Expert Member

  #1
  Jun 17, 2010
  Joined: Jun 29, 2007
  Messages: 654
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Kuna hali inayoendelea hivi sasa katika baadhi ya vituo vya kujazia mafuta kwenda sambamba na huduma za ki-Imani.

  Katika uchunguzi binafsi, imebainika kuwa katika vituo vingi vinavyomilikiwa na Oilcom vimeambatanishwa na Misikiti kama sehemu ya kituo. Hii inajidhihirisha katika orodha hii:
  1. Oilcom Ubungo: Msikiti upo kwenye hatua za mwisho.
  2. Oilcom Mandela Rd: Msikiti umekamilika na unatumika.
  3. Oilcom TAZARA Vetenary: Msikiti upo na unatumika.

  Vilevile katika kituo cha Victoria, Ali Hassan Mwinyi Rd., kimeambatanishwa na Kanisa ambapo kwa siku za J'pili hupati huduma mpaka baada ya saa saba mchana.

  Hii ni biashara Huria, lakini napenda kutoa angalizo. Tunakoelekea ni katika kubaguana ki-huduma kama tutaendelea kuendekeza uvunjifu wa mipango miji.

  Sidhani kama ni sahihi kuambatanisha mambo ya Imani na Biashara. Kwani ni hatari sana endapo pale kituo kitashika moto na watu kwa makumi au mamia wapo pale kusikiliza neno la Mungu. Tuzingatie Usalama Kwanza.

  Wapi EWURA, Wizara ya Ardhi, Manispaa, NEMC na Wananchi katika kutokomeza uoza huu ulioanza kwa kasi?

  LETS BE SERIOUS japo kwa hili tusingojee mpaka tuambiwe "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI"
   
 2. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #2
  Nov 19, 2010
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kanisa la pale victoria, ni ukumbi tu unakodishwa, si jengo la kanisa. wamekodisha tu ukumbi..si sawa kabisa na parmanent msikiti unaojengwa oilcom....that means, pale victoria, wakati wowote pale victoria jamaa anaweza akasema basi. hii ndo sababu ukienda zanzibar wakati wa ramadhan, saa saba hakuna maduka yanafunguliwa, na hakuna kuuza chakula (hata kama kuna watu ambao hawafungi, ni wakristo na ni wazanzibari).
   
 3. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #3
  Nov 19, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 6,992
  Trophy Points: 280
  sasa kama watu wanakodisha jengo tu kwa nini huduma za kuuza mafuta zisimamishwe mpka watu watoke kanisani?
   
 4. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #4
  Nov 25, 2010
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hakuna huduma zinazosimamishwa pale victoria, na hiyo kwanza ni issue moja tu. pale huduma huwa hazisimamishwi kwasababu yule jamaa siyo mlokole..
   
 5. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #5
  Nov 25, 2010
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Mi inanikera mno, naona umetaja vichache, ukiwa kwenye njia kuelekea Iringa, kila kituo nyuma yake ni msikiti! Mkwere ndiye anaye chocheaissue hizo.
   
 6. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #6
  Nov 25, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,894
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  "KWA HISANI YA WATU WA MAREKANI" Umnenichekesha sana hapo mkuu....
   
 7. Ngalikihinja

  Ngalikihinja JF-Expert Member

  #7
  Nov 25, 2010
  Joined: Sep 1, 2009
  Messages: 16,369
  Likes Received: 3,687
  Trophy Points: 280
  Mi sajaelewa..............SUALA NI JENGO LA DINI KUWA KARIBU NA KTUO CHA MAFUTA AU KUNA VITUO VYA MAFUTA NI VYA KIDINI.............???
   
 8. BONGOLALA

  BONGOLALA JF-Expert Member

  #8
  Nov 25, 2010
  Joined: Sep 14, 2009
  Messages: 13,782
  Likes Received: 2,391
  Trophy Points: 280
  ilishajadiliwa post kama hii wiki iliyopita!
   
Loading...