Gari ya polisi yaanguka na kuua askari.

hakuna majambazi walikuwa ktk wajibu tu wa kawaida sema dereva ni nyamisifa sana anapenda kukimbia bila sababu za msingi.
PUMBAV ZAKE!
NDO MANA NLIKUULIZA
TANGU MWANZO
KUWA NI MBWEMBWE?
ASKARI WENGINE
WANAKULA WEED
WANAFANYAGA
VTU VYA HOVYO
BASI TUU KWAVILE ETI
NI POLISI HAWAJITAMBUI
KUWA WAPO KWA
AJILI YA KUHUDUMIA
WANANJI,SA HAPO WANGEMGONGA RAIA??
HUYO MERE ALIKUWA ANATEGEMEA NA JAMII
YA KWAO SI KESHAITIA HYO FAMILIA HASARA
haya mapolisi yakishavaa hzo uniform yanajidaaai
hayajui hata za bar na makonda pia ni uniforms

hypocrites
 
WACHA NA MARY NAYE APUMZIKE NA MATATIZO YA DUNIA.NAMSINDIKIZA NA WIMBO WA AMBASADOR KWETU PAZURI.
.................Kwetu pazuuuuri hakuna masabuuuri......
 
Uliliona liko mwendo kasi? gari limepata ajali ndipo akafa au amekufa ndipo gari likapata ajali?
 
Tunduru kuna mgomo mpya nn?


rushwa.JPG


Kuna kitu walitakiwa kuwahi kutokana na mtu kuwatonya, maana mambo haya ukichelewa na wahusika wanatafuta upenyo hapo mikutano isiyo rasmi huahirishwa.
 
Back
Top Bottom