Gari ya polisi yaanguka na kuua askari.

Marry police Rest In Peace!

Nafikiri hili la rafu na mwendo kasi barabarani ndiyo faida yenyewe!

Trafick kamata dereva mwenzio mzembe barabarani mfungulie kesi ya kusababisha ajali!
 
Ee mwenyezi Mungu wamalize polisi na TISS wote ili watanzania wapate uhuru wa kweli! Nikikumbuka walivyotufanyia UDSM na ktk uchaguzi wa 2015 ni bora tu waangamie.

Mkuu ni vizuri wakati mwingine unapochangia mwombe Mungu akupe hekima ya ziada sidhani kama ni vizuri kuwachanganya wote mahali pamoja maana pia utakuwa na ndugu na jamaa zako kwenye hizo idara!
 
Ee mwenyezi Mungu wamalize polisi na TISS wote ili watanzania wapate uhuru wa kweli! Nikikumbuka walivyotufanyia UDSM na ktk uchaguzi wa 2015 ni bora tu waangamie.

Uchaguzi wa 2015 ulikuwa je?
 
Ee mwenyezi Mungu wamalize polisi na TISS wote ili watanzania wapate uhuru wa kweli! Nikikumbuka walivyotufanyia UDSM na ktk uchaguzi wa 2015 ni bora tu waangamie.

du,ndugu haya maombi mbona magumu hivi,lakini uzuri Mungu hutenda sawa sawa na mapenzi yake na si ya binadamu,
 
mbio za ajabu?
Why!? Nimeuliza kujua
kama walikuwa wanafukuzana
na majambazi or walikuwa wanawah kwenye tukio flani
?

hakuna majambazi walikuwa ktk wajibu tu wa kawaida sema dereva ni nyamisifa sana anapenda kukimbia bila sababu za msingi.
 
walikuwa katika majukumu ya kawaida tu.
kawaidaje wakimbize gari namna hiyo? Au kwasbb wao hawakamatwi na trafik ndo mana wanaendesha magari rafu? Anyway RIP MARY poleni majeruhi ila wahini porini mkatafute dawa madaktari wamegoma. Ugueni pole
 
Back
Top Bottom