Toyota Land-Speed-Cruiser VX-R V8Huu ni uzi maalum kwa sisi tusio na magari ila tunatamani siku moja tumiliki magari. Kila mmoja wetu ana ndoto ya kumiliki gari. Gari kali. Full kiyoyozi.
Mimi binafsi naizimia sana landrover discovery. Nikipata nyeusi aisee nitakua nimetimiza ndoto yangu ya siku nyingi. Hapa najipanga hadi kufikia julai 2020 niwe namiliki hiyo ndinga kali. Napigana kufa kupona niipate.
Wewe ndoto yako ni kumiliki gari gani na baada ya muda gani?
Tairi ya nyuma mbona haina upepo!
Tairi ya nyuma mbona haina upepo!