Gari ya mwendokasi yapata ajali Shekilango

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,918
Reaction score
38,244
Ukifuatilia sana haya mabasi unaweza kuhisi kuna operesheni ondoa mwendokasi. Kuna lori limesimama katikati ya barabara inajaribu kukata toka sheli shekilango kwenda Ubungo.

Bahati mbaya kontena ni refu hivyo aliporudi nyuma hakuwa na MTU anamwelekeza. Tukaonaa tu anatuletea kontena. Mara dereva wa mwendokasi akajitahidi kukwepa ila akaishia kutugonga. Loh
 
sasa hapo cjui ni gari gani itakochomolewa matairi kama mkuu alivyosuggest
 
mwendo kasi zinahujumiwa na wamiliki wa daladala
Yawezekana wamiliki wa daladala wanachangia hilo unalo sema.
Lakini tujiulize wamiliki wa huo mradi ambao ni UDA hawashiriki kulihujumu hilo shirika lao kwa faida binafsi?
Tujiulize pia madereva wa hayo mabasi wanakidhi viwango vya udereva ikiwepo na uzoefu wa udereva?
Maana udereva si kuweka gear na kuondoka ni pamoja kupata maamuzi sahihi na ya haraka pindi panapo tokea dalili za ajali.
 
Pdidy
Wewe si wa kukosa kuweka picha? Anyway pole kwa maswahibu ya ajali/ kugongwa na kontena.
 
Jifunze kuandika! Unaandika kama mtoto aliyefeli darasa la nne!
 
Hii shida ipo na kirahisi naiita ni poor design, barabara zimetengenezwa na kukosa turning radius kwa mabasi makubwa na malori!! Mifano midogo ni njia ya kwenda mabibo kutokea morogoro road, hapa lorry kuingia mabibo haliwezi kupishana na gari linalotokea mabibo kuingia morogoro road, Hapa shekilango kama unatokea sinza huwezi kukata kwenye mzunguko na lorry au basi! Na kwingine kwingi tu!! Poor design
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…