Gari ya kukodisha inahitajika haraka

Jafar

JF-Expert Member
Nov 3, 2006
1,136
52
Nina ndugu yangu ambaye ameuza gari yake aina ya Mitshubishi Pajero io, ni mkazi wa Dar na anafanya kazi Ilala (karibu na uwanja wa karume) kwa maelezo yake anasema itachukua muda kidogo ili kuweza kununua (ku-replace) gari yake nyingine. Anachohitaji kama kuna mtu ambaye anaweza kumkodisha gari (kama vile madereva wa taxi wanavyofanya) kwa malipo ya kila wiki. Bei maelewano lakini bei za soko zinaeleweka. Ila yeye hatafanya kama taxi, yeye ni gari ya kuendea kazini na kurudi nyumbani tu. Atafanya hivyo mpaka hapo atakapo nunua tena gari nyingine.

Kama ni wewe au kuna mtu au kampuni inafanya utaratibu huo anaomba uwasiliane naye kupitia simu zifuatazo 0715266454 au 0757116618.

Nawakilisha - mjumbe hauwawi.
 
Mkuu naomba utueleze yafuatayo kabla ya kuendelea!

Unahitaji kukodi gari aina gani?Saloon car,4WD,au aina gani?je safar zako ni za hapa dar au kuna mida utatoka nje ya dar?kwa mfano Bagamoyo,Arusha nk.manake hii industry ya kukodisha magari inabd tuwekane sawa mapema manake unaweza kujikuta gari yako mmeelewana shs 60,000 kwa week na kila week end jamaa anapiga Arusha na kurudi.Pi a itakua ni self drive au unataka upatiwe na dereva?naomba unijibu haya maswali machache then we can make business.
 
Depending on price, he can opt for a 4WD or saloon car but Saloon can suffice. Safari ni za hapa hapa Dar, lakini kama taxi dreva akipata abiria wa kibaha anaweza kumkimbiza kidogo halafu akarudi. Hii itakuwa ni self drive (he has 12 years experience in driving his own cars daily).
Please, assist.
 
Any responce guys, the man is serious about this.
Hiyo inawezekana,ila unaweze kuniambia anapatikana wapi(ofisi) ninaomba appointment halafu tunakutana na kuweka mipango kama kweli yuko serious na usafiri.
 
Anapatikana Ilala (karibu na Uwanja wa Karume) saa 2 hadi 11 jioni, ukifika mpigie 0715266454.
 
Si amini kwamba mpaka leo sijapata jibu kutoka kwa wadau.
Labda mnajiandaa kwa mfungo.

Please, get back to me.
 
Back
Top Bottom