Gari ni muhimu sana katika mapenzi

Nakumbuka siku moja nimepaki zangu pembezoni mwa road ya mtaa, ile nafungua mlango wa gari, simu ikaita napokea simu, nasikia neno POAAAA, kucheki namwona mdada aliyehisi nampa salamu wakati napokea simu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
JF ya siku hizi ina Corona...hadhi yake imeshuka mno
 
Hata IST au Vits?
 
Wakati naanza kazi bosi wangu alinunua gari kabla ya kujua kuendesha. Kwa kuwa mie dereva mzuri kitambo nilikuwa nadrive mie na jioni namfundisha. Nakula nalo misele watoto wazuri wanajaa kapuni.asikwambie MTU uchawi wa wanawake wengi ni gari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…