Wakichukua gari kwenda kulitest wanawadanganya ni ya kwaoNaonaga hata huku kitaa vitoto vya kiume vinavyojua kutengeneza magari vinafuatwa sana na vitoto vya kike...Ama kweli gari ni muhimu sana kwenye hii field.
Huo unaitwa "UCHAWI WA MZUNGU?"Kwanza wanawake wa sasahivi wenyewe wanaangalia cha kwanza gari, hata ukipishana nae mtaani ukiwa ndani ya gari yako unamng'oa chapu tuu, na ninachowapendea wanawake hajiulizi gari ni lako au umeazima, yeye akikuona unadrive tuu umevaa shati lako safi limepigwa pasi likakubali, anajua ni lako na anaona labda wewe ni kigogo fulani au mfanyabiashara mkubwa, gari ni muhimu jamani.
Wewe hata uwe na viwanja vingapi, ukipita mtaani watoto wazuri hawatajua kama una kiwanja au nyumba.
Juzi nakatiza zangu mitaa fulani nipo ndani ya ndinga, mtoto mkali akapita nikapiga honi mara moja tuu nikapaki pembeni, mtoto huyo akaja, nikashusha kiyoo maongezi machache tuu namba hii hapa nikasave, na lifti nikampa, na mabusu motomoto kwenye gari manusura nilete ajali barabarani maana ilikua hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wadau kwa atakaye muona kiduku lilo muambieni tunangoja tamko lake rasmi huhusu korona
Kama nishajenga?Ahaa! Endelea kuyanunua hayo magari alfu usijenge, usubiri hao mabint wakali waje kukujengea!
Statement yako hapo juu imeonyesha kama vile kipaumbele chako ni gari kuliko nyumba, maana umesema hata uwe na viwanja vingapi au umejenga nyumba lakn madem hawezi kuviona ila gari tu, ! So hapo nikashindwa kukupata maana hata mtu ukiwa na mjengo wa maana mademu watakuja wenyewe tena bila hata kupiga honi!
Hivi hiyo picha ya avatar ni wewe au? Maana hilo huno!!!
Bwana Pompooo siku mbili tatu sijaona nyuzi zako. Ulipigwa bani ?Kwanza wanawake wa sasahivi wenyewe wanaangalia cha kwanza gari, hata ukipishana nae mtaani ukiwa ndani ya gari yako unamng'oa chapu tuu, na ninachowapendea wanawake hajiulizi gari ni lako au umeazima, yeye akikuona unadrive tuu umevaa shati lako safi limepigwa pasi likakubali, anajua ni lako na anaona labda wewe ni kigogo fulani au mfanyabiashara mkubwa, gari ni muhimu jamani.
Wewe hata uwe na viwanja vingapi, ukipita mtaani watoto wazuri hawatajua kama una kiwanja au nyumba.
Juzi nakatiza zangu mitaa fulani nipo ndani ya ndinga, mtoto mkali akapita nikapiga honi mara moja tuu nikapaki pembeni, mtoto huyo akaja, nikashusha kiyoo maongezi machache tuu namba hii hapa nikasave, na lifti nikampa, na mabusu motomoto kwenye gari manusura nilete ajali barabarani maana ilikua hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hiyo picha ya avatar ni wewe au? Maana hilo huno!!!
Mapenzi ni nini na Ngono ni nni
maana hata mtu ukiwa na mjengo wa maana mademu watakuja wenyewe tena bila hata kupiga honi!
Bwana Pompooo siku mbili tatu sijaona nyuzi zako. Ulipigwa bani ?
Ndotoni ni wap mzee baba ?Uliazima gari la nani huko ndotoni?