Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
23
Reaction score
131
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
 
Vilevile utalazimika kufanya matengenezo ya uharibifu ambao umesababishwa na madereva wengine.

Kuna madereva ambao waliendesha gari ilo kwa kuweka mafuta kidogo tu, utakapofika muda wako kuendesha utalazimika kulipia bei ya gari jipya.
 
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
Shauri Yako bongo wenye kumiliki zero km ni wachache, wewe subiri 0km hutamiliki gari mpaka unakufa, acha kujibadilishia gear mwenyewe.
 
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
Je, wewe ndiye yule Pasta Joshua anayewauzia watu dawa za kuongeza nguvu za kiume kwenye Twitter !?
 
Gari lililopata kumilikiwa na watu wengi si zuri kwako. Kila utakapopita nalo utakutana na watu wanaojitapa kulijua vzr kwa sababu walipata kulitumia; wapo watakaoelezea namna walivyokuwa wakiliburuza kwa mwendokasi, wengine wakijinasifu walivyoliendesha kwa mitindo mbalimbali
Wengine nyumba ya wageni, mikosi inakosekanaje!
 
Mbaya zaidi ni vile wenzako walikuwa wanaliendasha kwenye rough road Ila ww n mlokole unaliendesha Kwenye barabara mzuri ety hutaki kuchosha engine 😂
 
Atleast kuna 0 km nyingi kwenyerindaz
Mfano ukikuta gari limetoa gari ndogo ndani yake, hakuna haja ya kuangalia km za rindaz, ww elewa tuu engine zote mbili zimeshachoka mana Naskia kupush gari dogo litoke lazima rindaz itumie nguvu 😎
 
Kabla ya kununua gari used hakikisha unajua lilikua linapitishwa barabara ipi na kwa speed gani.
 
Back
Top Bottom