mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
CCM wanasema tuwe wazalendo tulinde mali za taifa hili lkn makada wao hata kuthamini mali za wa-Tanzania wenzao mnaona nongwa.duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf