Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

duh huna ishu ya msingi ww.unasimama ili kuuliza mambo yasiyo kuhusu.waafrika sijui lini tutajielewa.hivi unadhani mwenye gari hajui hadi upost jf
Kabla ya kujibu post, uwe angalau unachukua hata dakika 2 kutathmini kile unachotaka kuandika. Wewe una uhakika gani kama mwenye gari anajua gari lake lilipo? Ndugu hebu tafuta mahali kwingine pa kupunguzia mihemko.
 
Huoni kwamba hata mlinzi katelekezwa???
Au hujaelewa kilichoandikwa unakimbilia tu kujibu????
Kuna kazi ya ziada kuongeza ufaulu mashuleni kama watu ndio wa aina hii.
We mwehu..... naona unaropoka.

Sasa GARI limetelekezwa vipi wakati kuna KOROKORONI analilinda?

Korokoroni ndo katelekezwa kama ndo unataka iwe hivo.

Afu SAMAHANI naona kama nimekukumbusha machungu ya KUTELEKEZWA na baba ako mzazi ndo mana umenitolea povu!
 
Mambo mengine ni imani za kishirikina tu,mtu hawezi kukaa miezi 6 haguatilii lori lake kalipaki porini pembeni ya barabara. Halafu mamlaka zipo kwann zisilitoe hapo akijitokeza mwenyewe alipe na faini la sivyo lipigwe mnada
Ninaloshangaa zaidi utafikiri hiyo ardhi ni private land, yaani police wanapita kila siku na wanashindwa kuuliza?
Au inawezekana mwenye mali kauliwa na huyo dereva na amepatwa kizaa zaa maana yote yanawezekana
Ila Tz kiboko lorry limesimama barabarani miezi 6 na serikali kimya mmh sijui kwa kweli

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
 
Kabla ya kujibu post, uwe angalau unachukua hata dakika 2 kutathmini kile unachotaka kuandika. Wewe una uhakika gani kama mwenye gari anajua gari lake lilipo? Ndugu hebu tafuta mahali kwingine pa kupunguzia mihemko.
MBN mtoa POST ameeleza vizuri kabisa? yeye kosa lake nn? Hivi mfano huyo mlinzi nae akiamua kuliacha hilo LORI atakuwa amefanya makosa? MIEZI 6 HUJALIPWA MSHAHARA WAKO,,na DEREVA HAPOKEI SIMU,,JE ni UUNGWANA? sasa MKUU ameleta UZI humu,,,ili MLINZI au mwenye GARI,,WAWEZE KUTATUA TATIZO,,ASAIDIWE,,, matokeo YAKE MNAANZA KUMSHUTUMU MTOA POST,,,kuna watu humu hawajawahi kupost chochote,,tangia AJIUNGE NA JF ,, ,lakini ni MABINGWA WA KUKASHIFU NYUZI ZA WATU,,,wacheni HIZO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Traffic police miezi sita hawalijui hili?yaani INA maana tz hadi karne hii hatuna high way patrol?police hasa walivyojaa barabarani na tena siku hizi wanawahi kuamka kweli kweli
6 months?ni taarifa nzuri kwa mmiliki

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom