Gari latelekezwa kwa zaidi ya miezi 6 katikati ya Ruaha-Mbuyuni-M tandika-A/B

Majibu Mujaraabu kabisa kwake USSR..majibu karibu ya uzi wote yamemkaba koo kwa Ujinga wake..natamani ushirikiano huu wa kukosoa penye uovu/pasipo haki/penye upotoshwaji/ uendelee hivi hivi hata ktk mambo yahusuyo Udini,Siasa na Ukabila/Ukanda..kwa bahati mbaya sana ushirikiano huu wa kusimamia haki huwezi kuukuta or mara chache sana si katika kiwango hiki kilichooneshwa kwenye uzi huu..utakuta mtu kapost Ujinga wa wazi kabisa lakini sababu kazungumzia Dini Yangu,kazungumzia Chama Changu,kazungumzia Kabila langu utakuta mtu anasupport ujinga,matokeo yake sasa Mindset kama hizi zinakomaa hatimae kupelekea kuwa na akili kama za bwana USSR..Watanzania tujitahidi hivyo vitu vitatu visitutawale tukawa watumwa navyo ..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha kuongea vitu usivyovijua.
Mathematics na kiswahili wapi na wapi?/?
Hauwezi linganisha ufaulu wa mathematics na hii lugha.Mathematics is far best compared to kiswahili.!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
We mwehu unaelewa nilichoandika au unaleta mihemko tu? Au unataka kutaga?

Wapi nimelinganisha kiswazi na namba?

Simpo, nimesema ukiacha NAMBA .....KISWAZI ndo kinaongoza kwa wadau kutaga, sasa we MF nambie where the hell is 'comparison' there???????

Garbage!!!!
 
Safi sana mtoa hoja hii,nami nililiona hili trunk na lipo kwenye blind corner,na hii ni hatari kwa watumiaji wengine wa barabara,ILA sababu ya kuishi ndani ya shit hole country haya ndio matokeo yake,kuna sheria ya usalama barabarani ambayo inatoa jawabu la hili tatizo,gari inapokuwa imesimama kwenye sehemu moja zaidi ya siku 90 mfululizo ni wajibu wa Traffic Dept.kuliondoa gari kwa gharama zao na kulipaki kituoni kwao,gharama za uondoaji na uangalizi zitakuja kulipwa na mwenye gari,na wao wakikaa nalo zaidi ya siku 90 mfululizo wanaomba kibali cha mahakama ili liuzwe kufidia gharama.(system yetu ina uwezo wa to identify the owner na address yake).na huyu USSR ni vema Mods wakampumzisha maana michango yake Inashusha hadhi ya JF,KUTOFAUTIANA NI VEMA ILA FACTS ZIHESHIMIWE.
Kabisa mkuu hili li kada lá Lumumba USSR ni jinga mno

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom