Gari la Xiaomi?

Sema wachina wameadvance sana wanacopy baadae wanatoa vitu hatari
Tatizo kubwa la wachina hawana patents, wakitoka tu hapo China wanakutana na wenye Tech zao ndio maana wengi wanakimbilia Africa ama Nchi za kwao huko.
 
Nmekumbuka ile Apple event ya steve jobs miaka ya nyuma alipozindua iPhone anakwambia
“and boy have we patented it”

Wachina mara nyingi ni kukopy wanapataga makesi kibao, America imewawezea hapo
 
Ethiopia vitz tu ama vigari vidogo vidogo vinaweza fika milioni 40, hivyo inabidi wanunue gari za Kichina zinazotengenezwa ndani, ambazo nyingi hazidumu na sio nzuri kama Used za kijapan

Ethiopia Magari ni Mapya tu hawaentartain uingizaji wa Magari Used. Ethiopia hata nguo huwezi kuta wanavaa midosho na famba za Kichina. Kwenye suala la controls za ubora wamekwenda mbali sanaa
 
gari nafuu tayari japan aliishatuweza.

tena sio nafuu tu ila zinafaa sana.
Usijidanganye kwamba Gari za Japan ni nafuu. Shida tunanunua Magari used. Nenda kaulize Bei ya Rav 4 latest Model au Toyota Corolla ndio utajua hujui
 
Ethiopia Magari ni Mapya tu hawaentartain uingizaji wa Magari Used. Ethiopia hata nguo huwezi kuta wanavaa midosho na famba za Kichina. Kwenye suala la controls za ubora wamekwenda mbali sanaa
Kwamba kukataa mtumba wa maana na kuruhusu vimeo vya kichina ni kucontrol ubora? Sababu hayo magari mapya kumbuka ni ya kichina yasiyo na ubora.
 
Kwamba kukataa mtumba wa maana na kuruhusu vimeo vya kichina ni kucontrol ubora? Sababu hayo magari mapya kumbuka ni ya kichina yasiyo na ubora
Hapana...siyo Magari yote ya Kichina ni Vimeo Mkuu, China ukienda miji ya Mikubwa Taxi tu ni German Cars tupu kina Audi, Vw etc sema ni zile zilizokuwa Assembled Kwao. Kwa Ethiopia nakukatalia Magari yao siyo Vimeo..Waethiopia kwenye kipengele hicho wametushinda mnoo. Siyo Magari tuu wao hata vitu vingine hivi sawa ni vya kichina ila wako strict sana kwenye ubora. Sisi hapa Wachina wametushika Masikio
 
Ethiopia vitz tu ama vigari vidogo vidogo vinaweza fika milioni 40, hivyo inabidi wanunue gari za Kichina zinazotengenezwa ndani, ambazo nyingi hazidumu na sio nzuri kama Used za kijapan

Hali iyo ya magar kuuzwa Bei KUBWA Ethiopia inasababishwa na nn mkuu?
 
Hapana...siyo Magari yote ya Kichina ni Vimeo Mkuu, China ukienda miji ya Mikubwa Taxi tu ni German Cars tupu kina Audi, Vw etc sema ni zile zilizokuwa Assembled Kwao. Kwa Ethiopia nakukatalia Magari yao siyo Vimeo..Waethiopia kwenye kipengele hicho wametushinda mnoo. Siyo Magari tuu wao hata vitu vingine hivi sawa ni vya kichina ila wako strict sana kwenye ubora. Sisi hapa Wachina wametushika Masikio
Mkuu si maneno yangu ni ya Waethiopia wenyewe, kama mtu ana save milioni 40 kununua ist wakati za kichina zipo za bei rahisi sidhani kama hizo za kichina zina ubora, zingekuwa na ubora wangezigombania hizo.

We mwenyewe angalia magari ya Kichina hapa kwetu mostly yanatumika kwenye biashara tu kina yutong na ndugu zake, na biashara mtu anaangalia toka aliponunua hadi linaharibika itamuingizia kiasi gani.

Ila unaponunua kwa matumizi yako mwenyewe unataka kitu kidumu kadri iwezekanavyo, hakuna mtu anayetaka kununua gari ya kutumia miaka 3 iwe nyang'Anyang'a
 
Hiyo 40m ni ISt mpya au Used? r
 
Back
Top Bottom