Poti nilikunongo'neza siku ile ingine....mwambie Geoff ajiandae kumpokea kijiti Makweta......! Kule kuna mambo bomu kweli, bila kuingiza watu wenye fikira chanya hayo mambo utaendelea kuyaona.....!
Tena bora wametumia kupeleka wasimamizi.......utachoka ukijaona wanabebea mkaa toka Nundu....!
Siku moja nimekutana nalo Igosi kumbe lilikuwa linasanya?

Muulizeni Yona anafanya nini hapo? Mchagueni Philip Magula au mchapa kazi mwingine. Yono amekalia biashara zake jijini tu.
Mkuu huyu Mangula tunaelewa sasa hivi amejikita kijijini analima viazi lakini alijisahau mno alipo kuwa Katibu mkuu wa CCM akashindwa kabisa kukumbuka nyumbani kwakweli asijisumbue hata kuchukua formu anaweza pata kura za ukoo wake tu watu wanachuki nae.
Kaka, si MA-KWE-TA tu wakupokelewa bali hata "ALIKWINA" naye inabidi apinduliwe kwa kura. Amekuwa mbunge kwa kipindi kirefu toka zama zile kupitia Jumuiya za Chama-Wanawake hadi leo bibi, bado tu.Na wala hana mpango wa kujing'atua dawa ni kupindua kwa kura wakina Msugupeigwite waingie madarakani.
Hiyo ya mkaa tisa bado hujaona wakilitumia kubebea watu wanaokwenda kwenye mazishi ya mheshimiwa fulani more than 60 km away from the district hospital. Humo ndani si kwamba mna vifaa vya huduma ya kwanza la, linfanya kazi kama "daladala" aka HIACE lakini abiria hawalipi kitu.
Kaka! be!
Muulizeni Yona anafanya nini hapo? Mchagueni Philip Magula au mchapa kazi mwingine. Yono amekalia biashara zake jijini tu.
hahahahah!home boy unanipa mzuka kwelikweli.kuna umuhimu wa kusafiri kuelekea unyaluni mwezi ujao,lol!hili naona linawezekana kabisa
Sahihi kabisa, asitie hata mguu.....uliona vijana walivyomfanya kitu mbaya walipo amua kumtosa uenyekiti wa Mkoa wa sisiemu? alipata kura mbili au tatu tu!....wakampa mzee mzima Msigwa! aka mzee wa 70,000 kny Msiba wa wanafunzi.......unakumbuka?
We need young blood kule bana!
Hehehe mkuu hili linasanya mpaka maeneo ya Makoga, linaenda mpaka Ikonda au linakula winga za Lupila si unajua kule barabara ngumu kama jiwe. Nimechoka sana mara utalikuta Lupembe unafikiri limefuata wagonjwa kumbe linakula vichwa.
Ndo hapo mkuu tunataka mabadiliko haswaMkoa wa Iringa kwa ujumla maana nakumbuka enzi hizo Mkoa ulikuwa unaongoza uzalishaji wa mahindi , pareto, chai lakini viongozi tulio kuwa nao ndo hao hao wanataka kuendelea kutudumaza. Pale sasa tunataka youth blood na sio vibabu na vibibi hivi.
Na huyu Mkuu Alatanga sijui nae vp naona kama anakubalika kubalika Njombe pale.