Gari la wagonjwa latumika kubeba wasimamizi wa mitihani Njombe

Nyano!!
Alatanga si ndiyoyo huyo huyo Lutondwe, yupo kwapani sasa hivi. hana lolote sasa. Watu walishamwona madudu hela baada ya kuhamia SemCem.

Huyu Alatanga hana msaada kwetu......mnafiki mtupu si mwanamaendeleo wa kweli! Tunataka new guys out there ambao ni very committed kwa maendeleo ya wilaya yetu bana!

Bibi keshachoka, filosofia za maendeleo ni kizamani, babu ndo usiseme amshukuru sana JK 2005 hangechomoza pale tena!
 
Mkuu Mzee Makweta lazima aondoke sasa, lakini jimbo lake lipo huku Mji wa Makambako, ambao upo nje ya H/wilaya Njombe. Pale Town Mbunge ni Mhe. Anne Makinda (Naibu Spika).

Yes ndo huko tunataka Member wetu Geoff akampokea kijiti...ni Njombe Kasikazini, Bibi yupo Kusini while mzee wa Auctioning yupo Magharibi!
 
Back
Top Bottom