Gari la taka manispaa ya kinondoni

mtoto wa maskini

JF-Expert Member
Jun 28, 2013
1,152
637
Wadau kila mwezi nalipia Tsh. 2,000/= kwa uongozi wa mtaa ya usafi lakini risiti napata imeandikwa Tsh. 1,000/= na risiti inaandikwa kiasi icho ni kwa ajiri ya ada ya usafi, nimewafuata wakasema manispaa wana risiti za 1000, 5000 na zingine lakini hawana ya 2000 je ni sahihi? Kuna udanganyifu au mimi ndo sielewi kwa wanaojua kuhusu swala hili wanipe ufafanuzi
 
Duuh mkuu hapo kutakua kuna kamhogo wanakachoma kimya kimya, je umewahi kulifikisha hilo swala kwenye ofisi ya kata?
 
Back
Top Bottom