Gari la Naibu Spika lapata ajali

Gari la Naibu Spika lapata ajali

Mafunzo ya mara kwa mara kwa madereva wa Viongozi wa umma ni muhimu sana hasa kwa magari haya ya kisasa yanayonunuliwa na serikali Landcruiser V8, Prado , Landrover 110 yana uendeshaji wake kulingana na aina ya Barabara zetu, madereva wanatakiwa kupata mafunzo ya magari hayo kabla ya kuyaendesha hasa barabara za vumbi, Pia magari binafsi na hata ya biashara mfano mabasi semina elekezi ni muhimu sana sio kila kitu Dereva anajua kuhusu matoleo mapya ya magari ya kisasa hata awe mzoefu kiasi gani
 
Mpiga kura wake ni JPM, Hugo ni Mbunge aliyemteua akawe naibu spika kwa makusudio yake. Hana kura zaidi ya hiyo kuingia bungeni
Aaahhh! Kumbe ni viti maalum. Sijui alikuwa anaenda kutumbua jibu wP
 
Taarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.
Kwa muonekano wa gari kwenye picha ( kiambatanisho) kama ndio lilimbeba Dr. Tulia, inaonekana Dr. Tulia amepewa nafasi ingine na Mungu. Mungu amemuonya. Sasa atakapokuwa amekalia kile kiti bungeni apunguze unyanyapaa na dharau.
Kwa gari asijali, atapatiwa moja kati ya yale 777 ili limkinge na ajali za barabarani.
Augue pole hata kama ni mshituko tu. Na anapotenda na kusema,amtangulize Mungu mbele.
 
Back
Top Bottom