Dah..huwa sicomment sana lakin hapa imenibid..
Kwanza ni habari yenyewe kuletwa nusunusu na kuwaacha wanakijiji wakijitolea maono yao binafsi..Mimi ningeshauri pindi unapokea taarifa km hizi na ww ufanye utafiti wako binafsi kupata ukweli haikuchukui ata dk mbili..
Naibu Spika Dk. Tulia Ackson Anusurika Kifo Baada Ya Kupata Ajali | MPEKUZI
Niliposikia izo taarifa binafsi niliingia Google na kudadisi ukweli wa mambo ni upi kabla sijawahadaa wanakijij wengine..
Someni mtajua chanzo ni uzembe wa dereva gari dogo kuovertake sehem hatarishi. Maana tayari lawama zilianza kutipwa siko watz tuwe waangalifu basi ata kidogo tuu..dah
Nawasilisha.