Gari la Naibu Spika lapata ajali

Zapa RadioFm

Senior Member
Feb 12, 2016
112
171
Taarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.

IMG-20160224-WA0019.jpg
 
Taarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.

Maeneo ya Kiwila

Ni Mkoa gani ama Wilaya gani???
 
Kabobea kwenye tasnia ipi hiyo? Au hi aliyoshindwa kuishauri tpa hadi wanakwiba makontena 2000+? Kwa hilo kabobea haswaa wala halina ubishi.
 
Taarifa zinasema kuwa gari la Muheshiwa Naibu Spika limepata ajali maeneo ya kiwila. Mpaka sasa hatujapata habari yeyote kuhusu majeruhi au kifo. Kwa habari kamili tutawajuza kadiri tutakavyokua tunapokea taarifa hizi.
Safi sana
 
Kama ni maeneo ya kiwira itakua ile sehemu imepewa jina la kiwanja cha ndege ni sehemu hatari sana maana pana mtelemko mkali wa umbali mrefu harafu kuna kona mbili za kushtukiza na mbele daraja..Nawaombea wahanga wawe salama..
 
Back
Top Bottom