kabanga
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 37,208
- 18,476
kuna roli limedondsha tera ikiwa na mafuta hapa karibu ma Igunga, hakuna askari watu wanakijiji na madereva wamesimama wanachota mafuta tena petrol
chanzo cha ajali dereva alisinzia, anasema alihisi gari linamvuta upande mmoja katika kurejesha barabarani ndio tera imegoma .
sijui itakuwaje ikitokea kuripuka hapa maana magari ya abiria na madogo ma wanakijiji wa hapa na ndoo zao.
napita katika eneo la tukio.