Chomete ashiriki makabidhiano ya gari la utume Mara

Chomete ashiriki makabidhiano ya gari la utume Mara

Habari za Zanzibar

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2024
Posts
624
Reaction score
431
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara, Mhe. Ghati Zephania Chomete, ameshiriki hafla ya kukabidhi gari la utume aina ya Toyota Land Cruiser Station Wagon (GXR High Auto), mwaka 2026, lenye thamani ya shilingi milioni 407.4 (TSh 407,442,114), iliyofanyika Oktoba 24, 2026, katika Kanisa la Waadventista Wasabato, Jimbo Kuu la Mara (Mara Conference).

Akizungumza katika hafla hiyo, Katibu Mkuu wa Jimbo la Kaskazini mwa Tanzania, Mchungaji Enock Marwa Sando, aliishukuru Serikali ya Awamu ya Sita, chini ya uongozi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kutoa msamaha wa kodi na ushuru wa forodha wenye thamani ya takribani shilingi milioni 109.

Hafla hiyo pia iliambatana na ibada ya shukrani pamoja na maombi maalum ya kumuombea baraka Mhe. Ghati Zephania Chomete.


IMG-20261025-WA0065.jpg
​
 

Attachments

  • IMG-20261025-WA0064.jpg
    IMG-20261025-WA0064.jpg
    130.9 KB · Views: 3
  • IMG-20261025-WA0062.jpg
    IMG-20261025-WA0062.jpg
    82.6 KB · Views: 3
  • IMG-20261025-WA0063.jpg
    IMG-20261025-WA0063.jpg
    102.4 KB · Views: 3
  • IMG-20261025-WA0059.jpg
    IMG-20261025-WA0059.jpg
    68.5 KB · Views: 3
  • IMG-20261025-WA0060.jpg
    IMG-20261025-WA0060.jpg
    83.7 KB · Views: 3
  • IMG-20261025-WA0061.jpg
    IMG-20261025-WA0061.jpg
    84.6 KB · Views: 3
Katika LC 300 bila shaka hili ndiyo chuma la off road zaidi kuliko nduguze VXR na ZX!!

Kama mpaka wasabato wanavuta vyuma hivi basi tutafute pesa!/
 
Back
Top Bottom