Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

Usiwe mkali kaka mimi niliuliza sababu za maana za kuweka tinted na sijaziona hapa hata moja. Na kama wewe unazo weka hapa tuone.
Hivi ni sababu za maana kwa nani? Nunua lako ndio upange kuweka au kutoweka tinted!!
 
Back
Top Bottom