Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

Gari kuweka tinted inamaanisha nini?

Kuna siku nime park somewhere, wakati narudi nikakuta dogo mmoja anachungulia tena very seriously. Nikamuuliza unatafuta nini? Hakujibu akaondoka.
Hapo sikuwa nimeweka tinted vioo vya mbele. Vioo vya nyuma ni tinted from manufacturer. Baada ya hapo nilitafuta fundi na kuweka tinted siku hiyohiyo.
 
kwenye huu uzi Kila mtu atakuwa na gari.....wenye toroli na basikeli tuendelee kuzi'pimp' ipo siku zitageuka kuwa gari.....
 
Asilimia kubwa ya wenye magari utaona vioo vyao ni black yaani huoni ndani yaani tinted. Gari iwe ndogo kubwa au hata lorry la mawe na mchanga nalo limo kundini mwa tinted, taxi nazo hazijasalimika, na wewe taja gari yoyote basi ni tinted.

Na tinted kuna kwa kiasi kama vile 30% ambayo ina uafadhali sio kali sana kuna na 50% pia. Lakini hizo za 30 au 50 hazitumiki ila wote huweka 100% yaani giza totoro. Tinted hazitumiki kwa nia njema bali hutumika kwa njia mbalimbali tena chafu na ovu.

Wewe mwenye gari ya vioo black hebu tupe sababu zenye mashiko na za uhakika kipi kilichokupeleka kuweka gari yako tinted.

Ramadhan Kareem
Inasaidia kupunguza matamanio ya vitu vilivomo ndani kw mfano umeweka simu kwenge kiti kama kioo ni clear kuna baadhi ya wenye tamaa inampa ushawishi wa kuvunja .
Ila kwa mengine ni sheria maana kuna viongozi wakubwa haitakiwi kuonekana ovyo kutokana na mazingira.
Kwa mfano gari naloendesha mimi hata kioo ni marufuku kuteremsha na ni tinted hadi kile cha mbele kina tited juu kidogo na chini .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi tuko kwenye Taasisi Moja ila Hatujuani.....
 
2026 nanunua mchuma, nauweka tinted, full ac, mziki mzito na kiuhakika nimejipanga kuihudumia.

Nimeanza kuweka miundombinu ya kuingiza hela ya kuinunua na mazingira ya kuitunza.

Kwa sababu mwaka huo nitalizana na HESLB, makato yao nitaelekeza kwenye wese na ukarabati mdogo.

Hati ifike T 999 FZZ sina gari, nitakuwa naumwa labuda.

Naomba anayejua magari madogo yaliyotoka 2020 ili kufikia 2026 yamekuwa mtumba anisaidie kuyataja majina ili nijiandae nalo.

Asante.
 
Asilimia kubwa ya wenye magari utaona vioo vyao ni black yaani huoni ndani yaani tinted. Gari iwe ndogo kubwa au hata lorry la mawe na mchanga nalo limo kundini mwa tinted, taxi nazo hazijasalimika, na wewe taja gari yoyote basi ni tinted.

Na tinted kuna kwa kiasi kama vile 30% ambayo ina uafadhali sio kali sana kuna na 50% pia. Lakini hizo za 30 au 50 hazitumiki ila wote huweka 100% yaani giza totoro. Tinted hazitumiki kwa nia njema bali hutumika kwa njia mbalimbali tena chafu na ovu.

Wewe mwenye gari ya vioo black hebu tupe sababu zenye mashiko na za uhakika kipi kilichokupeleka kuweka gari yako tinted.

Ramadhan Kareem
Privacy
 
Gari za viongozi na watu wa security tint ni lzm, tuanzie hapo
 
Sababu ni nyingi,wengine hawapendi michorano,wengine kwaajili ya kuficha medemu hasa wake za watu,wengine wanaficha maboksi ya magendo n,k

Huyu kasema kweli, yaani uhalisia wa kuweka tinted ndio huu, yaani kwa ajili ya maovu na sio jambo jengine. Huyu kanielewa point yangu. Kwa magari ya Serikali na viongozi kuwekwa tinted happ hamna comment lakini sababu nyengine zilizotolewa hazina mashiko.
 
Nunua lako na we uweke..Wabongo bhana Sasa we inakuuma nn?? Umbea tuu we unataka uchungulie nn humo.. hiyo Ni privacy ya mtu ndo Mana kaweka ili afiche mambo yake
 
American Tint hizi nazipenda wewe uliendani unaona wa nje na wa nje hamuoni wa ndani yani imefika stage gari isipokua tinted hauoni raha...
 
Nunua lako na we uweke..Wabongo bhana Sasa we inakuuma nn?? Umbea tuu we unataka uchungulie nn humo.. hiyo Ni privacy ya mtu ndo Mana kaweka ili afiche mambo yake

Usiwe mkali kaka mimi niliuliza sababu za maana za kuweka tinted na sijaziona hapa hata moja. Na kama wewe unazo weka hapa tuone.
 
Yani mkuu wewe unakereka Kwasababu huwezi kuchungulia ndani ya magari ya watu? Inaonekana unakereka pia Kwann Watu wanaweka Mapazia huwezi kuchungulia ndani mwao.
Mnambania mpiga chabo maarufu East and Central Africa .....msiweke tinted jamani....naenda kutoa kwenye baiskeli yangu pia
 
Asilimia kubwa ya wenye magari utaona vioo vyao ni black yaani huoni ndani yaani tinted. Gari iwe ndogo kubwa au hata lorry la mawe na mchanga nalo limo kundini mwa tinted, taxi nazo hazijasalimika, na wewe taja gari yoyote basi ni tinted.

Na tinted kuna kwa kiasi kama vile 30% ambayo ina uafadhali sio kali sana kuna na 50% pia. Lakini hizo za 30 au 50 hazitumiki ila wote huweka 100% yaani giza totoro. Tinted hazitumiki kwa nia njema bali hutumika kwa njia mbalimbali tena chafu na ovu.

Wewe mwenye gari ya vioo black hebu tupe sababu zenye mashiko na za uhakika kipi kilichokupeleka kuweka gari yako tinted.

Ramadhan Kareem
Nimeweka tinted kwenye Gari ili kuondokana na kero ya jua, pia kuwa na privacy napo hesapu pesa au kuhifadhi mali ndani ya gari mfano simu, laptop etc visiweze kuonekana kwa nje
 
Back
Top Bottom