Gari jipya la Rais wa Urusi ni balaaaa!

Gari jipya la Rais wa Urusi ni balaaaa!

Wazee wa kujikweza tofauti na uwezo wao...Kitech hawapo top ten lakn wanaonekana wanawazidi hata south Korea, kiuchumi hawapo top ten eti wanabishana na US...Russia wazee wasifaa...
 
Russia na magari ya kinyama wapi na wapi
 
Wazee wa kujikweza tofauti na uwezo wao...Kitech hawapo top ten lakn wanaonekana wanawazidi hata south Korea, kiuchumi hawapo top ten eti wanabishana na US...Russia wazee wasifaa...
Russia is the 6th largest economy in the world by GDP PPP and 12th largest by GDP nominal
 
Russia na magari ya kinyama wapi na wapi
Marussia F2. Tatizo haya magari huwa hayatufikii kwa sababu sisi hatuna buying power. Wanatengeneza na kuuziana wazungu kwa wazungu. Nikikwambia hata Samsung wana magari utakubali?
Marussia-F2-SUV-01.jpg
 
Hata akina Christiano ronalda na akina myweather hawana buying power?!! Watu maarufu akiwemo putin mwenyewe mbona hawayatumii? Ndo saiz Putin anafanya kuforce tu
 
Hata akina Christiano ronalda na akina myweather hawana buying power?!! Watu maarufu akiwemo putin mwenyewe mbona hawayatumii? Ndo saiz Putin anafanya kuforce tu
Hao nao utawaita matajiri? Hapa i am talking real dollar billionaires. Jiji la Moscow nahisi ndo linaongoza kwa kuwa na mabilionea wengi kama sijakosea.
 
Hata akina Christiano ronalda na akina myweather hawana buying power?!! Watu maarufu akiwemo putin mwenyewe mbona hawayatumii? Ndo saiz Putin anafanya kuforce tu

magari kama hayo yanaenda kwa special order....sio kama yanatengenezwa tu na kuekwa yard....apo ngoma unaeka order ndo inatengenezwa (kulingana na ww unavotak) ..
 
Mimi napenda nchi kama Iran raisi akimaliza muda wake kama Ahmed Nejad karudi kufundisha hana walinzi na anapanda usafiri wa umma anashikiria bomba tu bila tatizo

Kwakweli hata mimi pia napenda wanavyofanya...iwe fundisho kwa maraisi wengine.
 
THE KORTEZH CAR PROJECT

Rais wa Urusi anategemea kupata gari jipya ambalo litakuwa made-in-russia baada ya yeye mwenyewe kusema kwamba hapendi kutumia magari yaliyotengenezwa nchi zingine (Germany, Japan etc).
Serikali ya Urusi ilichukua kauli hiyo na kuifanyia kazi, enter the KORTEZH car project!

5ad74e1ddda4c86e3c8b456a.jpg

Baadhi ya vigezo vya gari hili
1. Linaweza kupita kwenye moto
2. Risasi haziwezi kupenya kwenye vioo vyake wala kwenye body yake (chassis)
3. Linaweza kuhimili mabomu ya aina ya Grenade
4. Lina closed air supply system, yaani hewa ya ndani haiingiliani na hewa ya nje, hivyo linaweza pita sehemu yenye hewa chafu (kwa mfano likipigwa chemical bomb) na walio ndani wasiadhirike.
5. Run-flat tires, hivyo linaweza kuendelea kutembea hata likipata pancha.

Putin pia hutumia ndege yake special made-in-russia aina ya Ilyushin Il-96

Rossiya_Special_Flight_Unit%2C_RA-96021%2C_Ilyushin_IL-96-300PU_%2817456349202%29.jpg

Duhhh!! Sio mchezo kamanda...anastahili kwakweli, maana wale fisi/western countries hawamtakii mema Raisi huyu wa dunia.

Viva Puttin!
 
Kwakweli hata mimi pia napenda wanavyofanya...iwe fundisho kwa maraisi wengine.
Kabisa mkuu na hakuna anayemshangaa kama huku viongozi wanavyofanya maigizo kupanda bajaj au daladala kila mtu anashangaa kama jambo la ajabu over wao hawakuumbwa kupanda usafiri huo.
Lakini wa Iran raisi mstaafu akipanda basi hata hapishwi siti kama zimejaa anasimama kama wengine yani napenda sana hii kitu
 
Back
Top Bottom