Cicero
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,924
- 3,077
THE KORTEZH CAR PROJECT
Rais wa Urusi anategemea kupata gari jipya ambalo litakuwa made-in-russia baada ya yeye mwenyewe kusema kwamba hapendi kutumia magari yaliyotengenezwa nchi zingine (Germany, Japan etc).
Serikali ya Urusi ilichukua kauli hiyo na kuifanyia kazi, enter the KORTEZH car project!
Baadhi ya vigezo vya gari hili
1. Linaweza kupita kwenye moto
2. Risasi haziwezi kupenya kwenye vioo vyake wala kwenye body yake (chassis)
3. Linaweza kuhimili mabomu ya aina ya Grenade
4. Lina closed air supply system, yaani hewa ya ndani haiingiliani na hewa ya nje, hivyo linaweza pita sehemu yenye hewa chafu (kwa mfano likipigwa chemical bomb) na walio ndani wasiadhirike.
5. Run-flat tires, hivyo linaweza kuendelea kutembea hata likipata pancha.
Putin pia hutumia ndege yake special made-in-russia aina ya Ilyushin Il-96