Gari jipya la Rais wa Urusi ni balaaaa!

Gari jipya la Rais wa Urusi ni balaaaa!

Marussia F2. Tatizo haya magari huwa hayatufikii kwa sababu sisi hatuna buying power. Wanatengeneza na kuuziana wazungu kwa wazungu. Nikikwambia hata Samsung wana magari utakubali?
Marussia-F2-SUV-01.jpg
Atajulia wapi huyo katoka kolomoje juzi tu.anajua vitz,ist na swift tu.
 
Acha ujinga. Unashinda humu kutetea sikui nani ana Private jeti mbili. Sema wewe au ukoo wenu ni lini mtakuwa na ya kwenu? Unatetea wanaume na pesa zao utazani mna ukoo naye. Acha ujinga kabisa dogo
We masikini jinga changia mada sio kutolea povu post za wanaume.
 
Back
Top Bottom