BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,554
- 9,247
Hii ngoma mpya ya Putin imetengenezwa Urusi ni hatari sana
Sanaa...naona Pro america wanaiponda, wakina sexer na wenzake hao 😀😀😀
Hii ngoma mpya ya Putin imetengenezwa Urusi ni hatari sana
Gari aina ya LADA.kwan alikua anatumia gari gani kabla ya hapo?
Privyet!
Kabisa mkuu na hakuna anayemshangaa kama huku viongozi wanavyofanya maigizo kupanda bajaj au daladala kila mtu anashangaa kama jambo la ajabu over wao hawakuumbwa kupanda usafiri huo.
Lakini wa Iran raisi mstaafu akipanda basi hata hapishwi siti kama zimejaa anasimama kama wengine yani napenda sana hii kitu
Jambo zuri
Pogba naye atengenezewe la aina hiyo
Hivi yule mzee wa ufipa bado anapanda Daladala au ndio mpaka kipindi cha Uchaguzi...[emoji23] [emoji23]Kabisa mkuu na hakuna anayemshangaa kama huku viongozi wanavyofanya maigizo kupanda bajaj au daladala kila mtu anashangaa kama jambo la ajabu over wao hawakuumbwa kupanda usafiri huo.
Lakini wa Iran raisi mstaafu akipanda basi hata hapishwi siti kama zimejaa anasimama kama wengine yani napenda sana hii kitu
Acha ujinga. Unashinda humu kutetea sikui nani ana Private jeti mbili. Sema wewe au ukoo wenu ni lini mtakuwa na ya kwenu? Unatetea wanaume na pesa zao utazani mna ukoo naye. Acha ujinga kabisa dogoKwa akili yako unaona hao ni maskini wenzio?! Kwa taarifa yako hakuna gari ambalo myweather anashindwa kununua eti kisa pesa. Niggar ana private jets zake mbili, kigari kitu gani! Kwa kuunda mandinga urusi ni mchumba tu
Unatakiwa ujue kwanza anayepanga hizo top ten za tech ni nani ukishamjua huyo utapata jibu kwa nn russia hawamuweki.Wazee wa kujikweza tofauti na uwezo wao...Kitech hawapo top ten lakn wanaonekana wanawazidi hata south Korea, kiuchumi hawapo top ten eti wanabishana na US...Russia wazee wasifaa...
Nimeipenda sana hiyo rais mstaafu haishi maisha ya kifahari anakuwa sawa na wastaafu wengine kama walimu, wauguzi natamani Tz waje kutokea viongozi wa namna hiyo.Mimi napenda nchi kama Iran raisi akimaliza muda wake kama Ahmed Nejad karudi kufundisha hana walinzi na anapanda usafiri wa umma anashikiria bomba tu bila tatizo
Hii kitu kwa Afrika sahau yani mtu akishakuwa kiongozi yeye siyo mtu wa kawaida atalindwa hadi maiti yakeNimeipenda sana hiyo rais mstaafu haishi maisha ya kifahari anakuwa sawa na wastaafu wengine kama walimu, wauguzi natamani Tz waje kutokea viongozi wa namna hiyo.
Unaweza kutoa ushahidi, ukiongea hisia zako ndo mwanzo wa uchochezi, na kinachopelekea baada ya week 2 hili jukwaa lifungwe na Serikali.Kabisa mkuu na hakuna anayemshangaa kama huku viongozi wanavyofanya maigizo kupanda bajaj au daladala kila mtu anashangaa kama jambo la ajabu over wao hawakuumbwa kupanda usafiri huo.
Lakini wa Iran raisi mstaafu akipanda basi hata hapishwi siti kama zimejaa anasimama kama wengine yani napenda sana hii kitu