Gari ipi ni nzuri kwa usafiri kati ya Rungwe Express na Golden Deer?

GoPPiii.

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
1,787
3,050
Msaada tafadhari,ninatarajia kwenda jiji la Makonda hivi karibuni kutokea jijini Mbeya. Kama umewahi tumia gari kati ya hizo mbili naomba msaada ni ipi nzuri haswa kwenye time management, speed nzuri, ipi inawahi kufika na ipi ina huduma nzuri.

Natanguliza shukrani.
 
Nitapandia Uyole, Golden deer ya Tunduma inachelewa kupita hapa Asubuhi!
Nimechanganya madesa mkuu...

Anyway... Bus za kuamsha kuna hai/happy Nation
Al Saedy na New Force/Golden Deer.

Zingine hizo... Mmh!! Labda kama unataka kupanda ile Scania Mpya ya rungwe.
 
Asante sana,nadhani ntatumia Golden deer. Nashukuru kwa msaada wako.
 
Asee...!
Kama unataka kuwahi kufika panda Golden Deer ya Tunduma.
Unawachongea hao wachina kwa bwana yule, kutoka Tunduma mpaka Mbeya mjini ni almost saa moja nusu na inapofika Mbeya mjini inafika saa 01:30 mpaka 02:00 wakati huo zile basi zinazoanzia Mbeya mjini to Dar zinakuwa mbali sana.

Sasa unatuambia basi za Tunduma zinaingia Dar mapema kuliko za Mbeya basi, tunaomba Jeshi la polisi usalama barabarani mikoa yote zinapopita basi hizo za Golden Deer kamata wahusika wote wa kampuni hiyo weka rokapu..!!
 
Alichanganya kidg alijua natokea Dar kuja Mbeya kumbe mimi naanzia Mbeya kuja Dar.
 
Asee...!

Unawachongea hao wachina kwa bwana yule, kutoka Tunduma mpaka Mbeya mjini ni almost saa moja nusu na inapofika Mbeya mjini inafika saa 01:30 mpaka 02:00 wakati huo zile basi zinazoanzia Mbeya mjini to Dar zinakuwa mbali sana.

Sasa unatuambia basi za Tunduma zinaingia Dar mapema kuliko za Mbeya basi, tunaomba Jeshi la polisi usalama barabarani mikoa yote zinapopita basi hizo za Golden Deer kamata wahusika wote wa kampuni hiyo weka rokapu..!!
Nilichanganya madesa mzee... Nilisoma vibaya mwanzoni.
 
Deer mnyama kama unapakufikia,Rungwe unapewa punguzo la bei ya chumba ukionyesha ticket kwenye hotel yake kkoo,pia wawezabook hotel kwenye bus zao.Deer kuna comfortability kama upo kwa ndege
 
Kama unataka kusafiri kwa raha na salama panda Rungwe, pia ina huduma nzuri.

Ila kama unapenda gari ya mwendo wa kasi panda Golden Deer
 
Asee...!

Unawachongea hao wachina kwa bwana yule, kutoka Tunduma mpaka Mbeya mjini ni almost saa moja nusu na inapofika Mbeya mjini inafika saa 01:30 mpaka 02:00 wakati huo zile basi zinazoanzia Mbeya mjini to Dar zinakuwa mbali sana.

Sasa unatuambia basi za Tunduma zinaingia Dar mapema kuliko za Mbeya basi, tunaomba Jeshi la polisi usalama barabarani mikoa yote zinapopita basi hizo za Golden Deer kamata wahusika wote wa kampuni hiyo weka rokapu..!!
Kulikuwa na michezo ya kuzinunua torch zote ili kufika mapema, shida ya wabongo wao Sheria ni fursa,sijui kama ipo bado,
 
Msaada tafadhari,ninatarajia kwenda jiji la Makonda hivi karibuni kutokea jijini Mbeya. Kama umewahi tumia gari kati ya hizo mbili naomba msaada ni ipi nzuri haswa kwenye time management, speed nzuri, ipi inawahi kufika na ipi ina huduma nzuri.

Natanguliza shukrani.
New Force..Ndo company ya uhakika mzee kwa nyanda za juu kusini usiulize...huku ni NF Golden deer
 
Back
Top Bottom