Naomba ushauri kuhusu gari aina ya Mark ii VVTI

CHIBA One

JF-Expert Member
Nov 16, 2018
560
2,087
Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbalimbali niliiuza toka january mwaka huu, nina familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M.

Nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawahi kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.

Je, nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
 
Kwa hii hesabu, Usi ununue hiyo gari.
Watu wananiambia angalau ntatumia 50k kwa wiki kwenda na kurudi kazini, sasa nimeona kama najikaanga...Wamiliki wa GRANDE mark ii waje wasaidie kutoa uzoefu wao
 
Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbali mbali niliiuza toka january mwaka huu, nna familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7 M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M

nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawah kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.

Je nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
Inunue iwe inakupeleka job then uwe na dereva au mkeo awe anaendesha uber

Sent from my SM-N960F using JamiiForums mobile app
 
Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbali mbali niliiuza toka january mwaka huu, nna familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7 M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M

nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawah kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.

Je nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
Kama unapanga bajeti ya mafuta nunua Vits,IST and the likes. GX100 na wenzie kupanga bajeti ya mafuta ni mtihani.
 
Nilikuwa na Rav 4 short chasis Ambayo kutokana na matatizo mbalimbali niliiuza toka january mwaka huu, nina familia na kwa sasa naona changamoto kubwa kukosa usafiri, kutokana na hilo nilianza kujichanga kidogo kidogo tena nikafika 7M Baadae ikatokea shida tena ikabidi nibaki na 5M.

Nikaona Mark ii grande moja VVTI inauzwa kwa bajeti yangu, nimeikagua na fundi na haina tatizo, sasa sijawahi kabisa kumiliki hii gari japo ina CC sawa na Ile RAV 4, watu wanasema linabugia sana kwa safari zangu za kazini kwa mwezi niwe na laki 4 ya service na mafuta? Kazini kwangu ni km 13 kutoka Nyumbani na kipato changu ni 800k mshahara.

Je, nichukue hii gari? AU nikimbilie Vitz kwa budget yangu?
hiyo gari nzuri,usiiache,mambo ya bajeti ni ya Mungu,atafungua milango kadri ya mahitaji yako...
 
Kipato ni 800k
Una familia
Gari ya kwanza uliuza kutokana na matatizo

Kama unafanya kazi serikalini, kwa mshahara wa 800k kama ndio inayoingia kwenye akaunti, chukua tu hiyo gari, kwa sasa tumerudi kwenye laki si pesa, miposho na madili ni ya kufa mtu.

Ila kama shughuli zako hazihusiani na kuonana na watu, wafanya maamuzi na kuwa mfanya maamuzi, tukutane kwenye daladala asubuhi, hizo km 13 utakuwa ni mkazi wa Tabata tu.
 
Back
Top Bottom