cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,774
- 5,311
HahahhahahahahahHiyo familia yenye matatizo si itaniroga nikilinunua?
HahahhahahahahahHiyo familia yenye matatizo si itaniroga nikilinunua?
Hahhaa hahaha mkuu inamaana hata picha hapo huoniNi engine gani?, ya Petrol au Diesel? Ni ha viti vingapi?
Kwenye picha kuna sehemu inaonyesha mafuta inayotumia?Hahhaa hahaha mkuu inamaana hata picha hapo huoni
Kwenye picha kuna sehemu inaonyesha mafuta inayotumia?
Uko wapiHabar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.![]()
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.
Kwenye picha kwani huwezi kugundua kama gari inasiti ngap wakat inaonekana kabisa ina 5 doors unadhani inaweza kuwa na kiti kimoja cha dereva amaKwenye picha kuna sehemu inaonyesha mafuta inayotumia?
Nitumie namba ya mkeo nimuulize kama mmefikia muafaka wa kuiza hiyo gari. Siyo niinunue harafu niwaachie ugomviHabar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.![]()
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.
Kuna zenye seating capacity 5 na zingine 7 mkuu nadhani ndio anachohitaji kujua.Kwenye picha kwani huwezi kugundua kama gari inasiti ngap wakat inaonekana kabisa ina 5 doors unadhani inaweza kuwa na kiti kimoja cha dereva ama
Hahaha mkuuu m naongelea kuhusu viti vingap
Insufficient detailsHabar zenu wana jf nauza gar aina ya prado mwaka 2002 iko vizur.![]()
Ipo zanzibar
Unaruhusiwa kuja na fund wako kuikagua siku nzima.
Sababu za kuuza ni matatizo ya kifamilia.
Bei sh mil 15.
0710198726.
Asaten.