Achana na ubishi huo wa viambishi, unataka kuharibu thread ya mwenzioGari IMEIBWA. Ukisema imeibiwa unamaanisha kuna mtu kaiba kitu kwa niaba ya gari.
Mtihani huo pole kwake
Samani za Nyumba zinaibiwaje Sitting room na vyumbani na umeenda kulala usiku ukiwa umefunga milango na Mbwa wako active wanazunguka kwny fence?Hivi gari wanaibaje ikiwa funguo hazipo na imelokiwa, samahani.
Hataaa mm nilihisiyuko dawascoKwa kuwa yupo BoT haina shida atapata jingine tu tena kali kuliko hilo!!! Acha niingie jikoni kukanda unga wa chapati za kuuza kesho hapo kibarazani...life limekuwa gumu sana yani watu wanakopa hadi chapati zangu!!!
Devota,kama unaitaka gari yako nakuomba uwe mpenzi wangu,umenidharau siku nyingi lakini sasa itabidi unipe hata mara moja tu.Habari ya asubuhi,
Kuna gari aina ya Toyota Noah rangi ya silver no T. 139 CRT imeibiwa asubui pale Muhimbili, naomba msambaze kwenye makundi mbali mbali, aliyeibiwa anaitwa Devotha yupo Benk Kuu (BOT).
Achana na ubishi huo wa viambishi, unataka kuharibu thread ya mwenzio
GARI IMESHAIBIWA kama umeiona toa taarifa.
full stop
Mwendo Wa vijimbe tu na si nia ya mtoa postDada Devota pole sana, ingekuwa enzi zile ungesogea kwa Deputy Govenor huku unalia unataftiwa safari ya kwenda kujifunza Power point German kwa wiki tatu ukirudi una 30m unatafuta zako Harrier kabisa na unarudi tena kuegesha Muhimbili bila ya Pressure. Tunakumiss Mpendwa Jakaya Watumish hawana wa kuwafariji tena siku hizi ni mwendo wa kupekua Vyeti na kuchungulia masalio yao Bank na kuwaita PCCB
Hiyo gari ingeibwa kama ingekuwa inajitambua, imeibiwa kutoka kwenye hatitambuzi ya mwenye gari.Acha utoto, hakuna ubishi hapa nimemsahihisha mtoa mada ndio maana ikaishia hapo ila wewe na utoto wako ndio unaetaka kuharibu thread. Gari ilioibwa sijaiona nikiiona nitatoa taarifa.
Hivi huwa mnatumia Akili Kuropoka!!?CCM hao wameshindwa kulinda raia na mali zao kutwa itelenjensia cdm na UKUTA. Kulinda raia sijui wamemuachia nani. Wala mtu wa Lumumba buku mbili huna sababu ya kushangaa.
watu wa dar mnajuana mmezoea dili
CCM hao wameshindwa kulinda raia na mali zao kutwa itelenjensia cdm na UKUTA. Kulinda raia sijui wamemuachia nani. Wala mtu wa Lumumba buku mbili huna sababu ya kushangaa.
ukizoea kuchezea dili wenzio na wewe jiandae kuchezewa dili watu wa dar wanajuana wao kwa waohii sentensi za mara watu wa dar ni noma