Gari imeibwa Muhimbili leo; Tafadhali toa taarifa

Gari imeibwa Muhimbili leo; Tafadhali toa taarifa

Pagan Amum

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2015
Posts
1,930
Reaction score
4,409
Habari ya asubuhi,

Kuna gari aina ya Toyota Noah rangi ya silver no T. 139 CRT imeibiwa asubuhi pale Muhimbili, naomba msambaze kwenye makundi mbali mbali, aliyeibiwa anaitwa Devotha yupo Benki Kuu (BOT).
 
Habari ya asubuhi, kuna gari aina ya Toyota Noah rangi ya silver no T. 139 CRT imeibiwa sasa hivi pale Muhimbili, naomba msambaze kwenye makundi mbali mbali, aliyeibiwa anaitwa Devotha yupo Benk Kuu (BOT)...

Weka picha na maelezo mengine ya kujitosheleza, hizo plate number zinatokewa tu dk moja na kupachika zingine rangi ya silver pia ni Noah nyingi za rangi hiyo.
 
Mkuu hiyo message niliipata whatsapp leo asubuhi. Hapo unaposema sasa hivi ingefaa kubadili kidogo inaweza kuchanganya wasomaji wakafikiri ni taarifa ya gari lingine. Ni wazo tu mkuu!
 
Hiyo Noah wakiipata wataambulia body tu, watakuta spear zote washa disassemble.
 
Pole yake.

Life is full of surprise! Shits happen.

Tunamkaribisha kwenye DART maisha yaendelee. Ama apige 'ushanta' hapo B.O.T avute mkebe mwingine... maana wao na dili ni damudamu!

-Kaveli-
 
Back
Top Bottom