He kumbe kweli "haikuwa" kwenye msafara!Gari aina ya Landriver Discovery mali ya Mchungaji mmoja wa Kanisa, imekamatwa.
Taarifa zaidi baadae.
umenena mkuu sijui na mbinguni watasindikizwa hivihivi?????????whoever aliyekuwa akiiendesha hiyo gari ane alikuwa kwenye msafara?
Msafara wa rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.
Msafara mrefu unahatarisha usalama wa walioko kwenye msafara kuliko kulinda usalama wao.
tulieni na mtoe taarifa kamili sio kukurupuka tu.
Gari aina ya Landriver Discovery mali ya Mchungaji mmoja wa Kanisa, imekamatwa.
Taarifa zaidi baadae.
Whoever aliyekuwa akiendesha hiyo gari nae alikuwa kwenye msafara?
Msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.
Kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa.
Msafara mrefu unahatarisha usalama wa walioko kwenye msafara kuliko kulinda usalama wao.
Whoever aliyekuwa akiiendesha hiyo gari ane alikuwa kwenye msafara?
Msafara wa Rais ni mrefu mno kiasi kwamba hata ukiunga tela hushtukiwi.
Kuna umuhimu wa ku-modernise jinsi Rais anavyolindwa.
Msafara mrefu unahatarisha usalama wa walioko kwenye msafara kuliko kulinda usalama wao.
:rip: Bwana ametwa bwana ametwa jina lake lihimidiwe.
kwani na huyo alikuwa sehm ya msafara?na mara nagapi wa Tz kibao wanaunga pengn hata wewe usha wahi kuunga aanza wewe kutokuunga .Wtz punguzeni kulalamika na lawama nyingne zisizo kuwa na mashiko kwa serkli.mengine yako ndani ya uwezo wetu kuyazuiaya kwa mikono yetu