Gari haikunisaidia katika kutongoza

Gari haikunisaidia katika kutongoza

Option zote zikifeli jitoe muhanga mkuu,jaribu trick yangu hii,imefanya kazi kwangu twice....nenda kwao ukiwa umevaa kiheshima,gonga mlango wa mbele tena akifungua mzazi wake itapendeza zaidi,salimia kisha uombe kuitiwa huyo binti hakika atashtuka sana na ataona kweli wewe mwanaume na ukimuomba mawasiliano hapo hawezi kukataa.
NB:Uwe mtu mzima,kama mtoto usijaribu..utakamatwa na kuchapwa fimbo zisizo idadi.
Ha! ha! ngoja nimsubiri kuna sister mmoja anaipa jibu kesho kaenda nitafutia mobile#
 
Option zote zikifeli jitoe muhanga mkuu,jaribu trick yangu hii,imefanya kazi kwangu twice....nenda kwao ukiwa umevaa kiheshima,gonga mlango wa mbele tena akifungua mzazi wake itapendeza zaidi,salimia kisha uombe kuitiwa huyo binti hakika atashtuka sana na ataona kweli wewe mwanaume na ukimuomba mawasiliano hapo hawezi kukataa.
NB:Uwe mtu mzima,kama mtoto usijaribu..utakamatwa na kuchapwa fimbo zisizo idadi.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Npite pite kdogo huku leo

Cc inna emmyta,shunie,ukhuty
 
Jamani leo nimeamua kuleta huu uzi, lakini hauna style ya ki-beira baby boy ki-beira baby boy. Unajua ukiwa mtu mzima then ukawa unafanya mambo ya kitoto inakuwa ni kituko sana katika jamii inayokuzunguka hasa ukiwa umebeba dhamana ya ukubwa. Kuna kabinti kamoja hivi naona moyo wangu ushaanza kupiga kwa ajili yake ila sasa haka kabinti huwa kapobize sana kwanza hakina muda kabisa yaani yeye na kazi kazi na yeye, inafika kipindi inabidi ilikumpata nitumie ma massanger, hadi muda huu nishatumia watu kama 3 hivi ili kunitafutia mawasiliano yake kwa bei yoyote ile cha ajabu hakuna hata aliyefanikisha kuna mmoja nikampa namba zangu katika karatasi lakini kwa taarifa za chini chini nasikia alizichana. Tatizo huyu binti nasikia huwa hana shobo na watu wenye nafuu ya kimaisha, na ukitazama ni kweli kuna siku nilikuwa katika gari nikajifanya mashauzi ya mkoko nikamsalimia kisha nikamwambia njoo kidogo dah! basi kama nimejitia nuksi kila nikipishana nae njiani nikiwa nipo ndani ya gari hunipitia mita za uchaguzi. Sasa hapa issue ni kukutana nae au nipate mawasiliano yake na option zilizo baki ni mbili tu! ya kwanza ni kumtumia rafiki yake ilianiunganishe nae au anipe mawasiliano yake nipo tayari hata kumpa pesa akifanikisha, katika upande wa kumtumia rafiki yake hapa kuna changamoto moja, kwanza huyu rafiki yake sina mazoea nae nahisi nikimfuata atadhani namtaka kimausiano hivyo akisikia namtaka rafiki yake itakuwavigumu kuniunganisha nae sababu ataona wivu.
Na option nyengine iliyobaki ni kwenda kwao mpaka home, lakini kwenda huku kwa sio direct kujitambulisha ila ni kumtuma msichana akaniombee namba zake kwa dada zake kwa njia yoyote ile.Niliwahi kupata bahati ya kukutana nae siku moja tu du! huwezi amini alinipa 7 second yaani nilimsalimia to na kisha akaondoka akasema nachelewa. Tatizo linalonifanya nimng'ang'anie huyu mtoto kwanza ni uzuri wake, yaani unanifanya ni date na ukija na kijitabia chake kidogo kana ridhisha, then isitoshe kila mwanaume anamsifia kuwa yeye ni mzuri, basi hapo ndipo napoona kwanini nimkose wakati nafuu ya maisha ninayo. Sasa nimeleta hapa ilimnipatie mikakati ya kumnasa huyu mtoto ikiwemo kupata mawasiliano yake. Kama nitafanikisha basi moyo wangu utafurahi sana na akinikataa moyo wangu utaumia sana.

Pale unapompenda mwanamke kisha ukamtongoza na akakukataa kisha ukawa kila siku unamuona katika macho yako huwa inauma sana afadhali awe mtu wa mbali.
Unamhitaji kwa ajili awe mwanamke wa maisha yako yaani baadae aje awe mkeo au unataka kumvua chupi tu na kusepa zako? Nijibu kwanza hayo ili nijue nakusaidiaje,maana kuna njia tofauti za kumuingilia mwanamke kwa mahitaji tofauti.
 
Option zote zikifeli jitoe muhanga mkuu,jaribu trick yangu hii,imefanya kazi kwangu twice....nenda kwao ukiwa umevaa kiheshima,gonga mlango wa mbele tena akifungua mzazi wake itapendeza zaidi,salimia kisha uombe kuitiwa huyo binti hakika atashtuka sana na ataona kweli wewe mwanaume na ukimuomba mawasiliano hapo hawezi kukataa.
NB:Uwe mtu mzima,kama mtoto usijaribu..utakamatwa na kuchapwa fimbo zisizo idadi.

[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] usimdanganye mkuu
Actually this can work, sema manzi asiwe mropokaji tu... Na asiwe mtoto sana...[emoji3]
 
Huyu dada hataki kunipa muda wa kukaa nae na kuzungumza kiutuuzima.
Pesa hainunui mapenzi ya kweli.angalia namna nyingine.jishushe.siku nyingine tembea kwa miguu.ukiwa unamfatilia.
Kuwa na gari usifikiri ndo umemaliza kazi kwa mwanamke
Kuna wanawake hawapendi shobo.
 
Haha aaah wap ww mpk nmekuja kukutoa huko
Ivuga sijamwona toka mwaka huu uanze
Hee hee hata nashukuru ulikuja
kunitoa maana nlikua naona January
X2

Kwan alitekwa kibit au alizdiwa na
Michepuo
 
Toa kwanza io avatar ya kike, jichungulie ukijua jinsia yako kwa uhakika utampata uyo binti kiulaini tu
 
Hee hee hata nashukuru ulikuja
kunitoa maana nlikua naona January
X2

Kwan alitekwa kibit au alizdiwa na
Michepuo
Michepuko imemzidia

Yan toka yule kitoto cha chuo kikuzingue naona...mpira ndo umekua msichana wako
 
MPANDIE OFSN, MTUMIE ZAWADI KWA POSTA N.K.

HAKUNA MKATE LAINI MBELE YA CHAI. UKISHNDWA NIPE JINA NA OFC ANAYOFANYIA KAZ NTAKUPA FEEDBACK
 
Jamani leo nimeamua kuleta huu uzi, lakini hauna style ya ki-beira baby boy ki-beira baby boy. Unajua ukiwa mtu mzima then ukawa unafanya mambo ya kitoto inakuwa ni kituko sana katika jamii inayokuzunguka hasa ukiwa umebeba dhamana ya ukubwa.

Kuna kabinti kamoja hivi naona moyo wangu ushaanza kupiga kwa ajili yake ila sasa haka kabinti huwa kapobize sana kwanza hakina muda kabisa yaani yeye na kazi kazi na yeye, inafika kipindi inabidi ilikumpata nitumie ma massanger, hadi muda huu nishatumia watu kama 3 hivi ili kunitafutia mawasiliano yake kwa bei yoyote ile cha ajabu hakuna hata aliyefanikisha kuna mmoja nikampa namba zangu katika karatasi lakini kwa taarifa za chini chini nasikia alizichana.

Tatizo huyu binti nasikia huwa hana shobo na watu wenye nafuu ya kimaisha, na ukitazama ni kweli kuna siku nilikuwa katika gari nikajifanya mashauzi ya mkoko nikamsalimia kisha nikamwambia njoo kidogo dah! basi kama nimejitia nuksi kila nikipishana nae njiani nikiwa nipo ndani ya gari hunipitia mita za uchaguzi.

Sasa hapa issue ni kukutana nae au nipate mawasiliano yake na option zilizo baki ni mbili tu! ya kwanza ni kumtumia rafiki yake ilianiunganishe nae au anipe mawasiliano yake nipo tayari hata kumpa pesa akifanikisha, katika upande wa kumtumia rafiki yake hapa kuna changamoto moja, kwanza huyu rafiki yake sina mazoea nae nahisi nikimfuata atadhani namtaka kimausiano hivyo akisikia namtaka rafiki yake itakuwavigumu kuniunganisha nae sababu ataona wivu.
Na option nyengine iliyobaki ni kwenda kwao mpaka home, lakini kwenda huku kwa sio direct kujitambulisha ila ni kumtuma msichana akaniombee namba zake kwa dada zake kwa njia yoyote ile.Niliwahi kupata bahati ya kukutana nae siku moja tu du! huwezi amini alinipa 7 second yaani nilimsalimia to na kisha akaondoka akasema nachelewa.

Tatizo linalonifanya nimng'ang'anie huyu mtoto kwanza ni uzuri wake, yaani unanifanya ni date na ukija na kijitabia chake kidogo kana ridhisha, then isitoshe kila mwanaume anamsifia kuwa yeye ni mzuri, basi hapo ndipo napoona kwanini nimkose wakati nafuu ya maisha ninayo.

Sasa nimeleta hapa ilimnipatie mikakati ya kumnasa huyu mtoto ikiwemo kupata mawasiliano yake. Kama nitafanikisha basi moyo wangu utafurahi sana na akinikataa moyo wangu utaumia sana.

Pale unapompenda mwanamke kisha ukamtongoza na akakukataa kisha ukawa kila siku unamuona katika macho yako huwa inauma sana afadhali awe mtu wa mbali.
Ni mwanafunzi au bek3
 
Unamhitaji kwa ajili awe mwanamke wa maisha yako yaani baadae aje awe mkeo au unataka kumvua chupi tu na kusepa zako? Nijibu kwanza hayo ili nijue nakusaidiaje,maana kuna njia tofauti za kumuingilia mwanamke kwa mahitaji tofauti.
Wamaisha kabisa
 
Na hiyo ndo shida yako yaani unataka kutumia vijisent vyako kumtongoza mtu ...... sometime mtu anajiuliza kwanini mpaka utumie watu wengine kufikisha dhamira yako !!!! Mtafute wewe mwenyew
 
Back
Top Bottom