Gardner upo?

Jay

New Member
Mar 25, 2008
1
0
Hii kali...ni kweli siku moja kabla ya ndoa gadner alilala nje ya nyumba na kimada????? Eti marlaw umewatosa masela wako baada ya kua superstaaaaaaaar sio isue babu vitu mnavyofanya kwa siri sasa hivi vinaanikwa hadharani....big up JF endeleeni hivihivi.
 
DMussa

JF-Expert Member
Sep 24, 2007
1,311
1,500
Hii kali...ni kweli siku moja kabla ya ndoa gadner alilala nje ya nyumba na kimada????? Eti marlaw umewatosa masela wako baada ya kua superstaaaaaaaar sio isue babu vitu mnavyofanya kwa siri sasa hivi vinaanikwa hadharani....big up JF endeleeni hivihivi.

Duh!
Karibu sana ila kwa mwendo huu naona kama tutastruggle sana!!!
Hii siyo ishu hata kidogo...

No comment
 
Kitia

JF-Expert Member
Dec 2, 2006
418
195
Why is this post surfacing and resurfacing again and again? If you have any beef with the gentleman, confront him!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom