Gardner Habash: Natumia laki 1 kwa siku

[QUOTRugewr gentleman, post: 16187548, member: 95717"]Ujasema ni matumizi ya nini? Inawezekana ni matumizi ya kuzungusha pesa.

Gadna analipwa zaidi ya million 3 pale Clouds na anachukua commission ya matangazo ya Jahazi msimchukulie poa.[/QUOTE]
Huyo Ruge mwenyewe hafikishi mil 2
 
Mtangazaji wa kipindi cha Jahazi, ambaye hivi karibuni amemkojoza yule moto wa kike,amejitapa kuwa matumizi yake kwa siku ni shilingi 100,000 wakati akimfanyia interview msanii wa Bongo Flavour Malaika.

My opinion: Laki 1 inaweza kuwa kubwa au kuwa ndogo kutegemeana na kipato chako. Lakini kwa kipato cha mtangazaji wa radio, inaleta ukakasi kidogo. Ama ni hivyo basi utangazaji unalipa sana siku hizi. Matumizi ya 3,000,000 kwa mwezi si jambo dogo ati.
Hiyo laki moja anaitumia katika ukojozaji?
 
sasa ndio ajitangaze?!! amtangaze lady.. alivyomkojoz@!! sasa anatangaza matumizi!! mtu mzima ana mawazo ya kitoto...
Hivi nyie mna tatizo gani hampendi kusikia habari nzuri ya Gadna?

Huyo sura ngumu si alisema yeye ndio anamtunza sasa anaishi maisha yake bado inawaumiza.. Gadna tuko nae batani daily ingekuwa bado yupo kwenye ndoa mngesema za yule uso mgumu ila sasa mnalialia tu.
 
Back
Top Bottom