Tronics guru
JF-Expert Member
- May 19, 2016
- 10,446
- 8,085
Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa
Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na shuguli yakee!!
Kwa wale wapenzi sasa hapa ndo mahala pakee!!
Usihofie kuhusu vyakula sasa ni bei chee.Ukweli najivunia kuwa iringaaa
Prove me wrong!!
Karibu MAGADU OFFICERS MESS-MOROGORO ujionee Garden ilivyotulia.Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa.
Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na shuguli yakee!!
Kwa wale wapenzi sasa hapa ndo mahala pakee!!
Usihofie kuhusu vyakula sasa ni bei chee.Ukweli najivunia kuwa iringaaa
Prove me wrong!!
acha ujingaHABARI BILA PICHA NI SAWA NA KUSOMA QURAN
Acha kuifananisha QURAN na mambo ya kijinga we ki pa pa.HABARI BILA PICHA NI SAWA NA KUSOMA QURAN
mh k n kHABARI BILA PICHA NI SAWA NA KUSOMA QURAN
ulaliPromo kazini
Acha kudhihaki vitabu wanavyo amini wenzako nyumbu we, Unatafuta likes kwa kutenda makosaHABARI BILA PICHA NI SAWA NA KUSOMA QURAN
Wale wadudu wapo?Wenyeji wa iringa town najua mnanielewaa.
Hili eneo ni nzuri balaa yaani sio masikini au tajiri hapa panawafaa wote kwa wale wenzangu na mimi sasa location safii pia watu ni wengi na kila mtu na shuguli yakee!!
Kwa wale wapenzi sasa hapa ndo mahala pakee!!
Usihofie kuhusu vyakula sasa ni bei chee.Ukweli najivunia kuwa iringaaa
Prove me wrong!!
Yani hii fence ya michongoma ndo imekuchanganya
Huchoki kunifuatilia tu?ulali
acha kumuita binadamu mwenzako Nyumbu paka wwAcha kudhihaki vitabu wanavyo amini wenzako nyumbu we, Unatafuta likes kwa kutenda makosa
umenionaje kama unifuatiliiHuchoki kunifuatilia tu?
Acha kumwita binadamu mwenzako paka mbwa weeeacha kumuita binadamu mwenzako Nyumbu paka ww