Hamjaitwa tu?Shida sana hawa watu
Bila bila bado mzeeHamjaitwa tu?
ChengaWazee wa Gaming Board leteni mrejesho.
Ofisi ya GSo iko wapiVetting ni kwa kila mtumishi wa umma. Lazima ofisi ya GSO ijiridhishe, huwezi kuingia tu kwenye ofisi nyeti na serikali ikakaa kimya.